Recent content by nampapara

  1. nampapara

    JamiiForums Tanzania Electronic tickets

    Nimeomba codes aisee..kwenye menu ya mpesa sijaona. *150*00*___?
  2. nampapara

    JamiiForums Tanzania Electronic tickets

    Wadau naomba mniambie codes za kununulia tiketi uwanja wa Taifa mechi ya leo simba na coastal
  3. nampapara

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa trafiki asubuhi Kimara-Ubungo

    Kuanzia mbezi mwisho, kama hujui "kuchepuka" imekula kwako..ukifika zinakoanzia barabara za BRT, abiria wako mlaze aigize ni mgonjwa ..ukisimamishwa unasema unamuwahisha hospitali
  4. nampapara

    JamiiForums Tanzania Makosa wanayoyafanya wanawake linapokuja swala la kupenda..!

    Ubarikiwe babaa
  5. nampapara

    JamiiForums Tanzania Wahubiri kama vitu hamvijui bora kukaa kimya

    Biblia haikuandikwa kwa kiswahili wakati Yesu alipoongea hayo..aliongea kiaramaik..waliotafsiri biblia kwenda kirumi na baadae kiswahili ndio walioweka maneno yaliyorahisi kueleweka kwa jamii wanayoitafsiria. Yesu alitoka na kurudi mbinguni na sio peponi.
  6. nampapara

    JamiiForums Tanzania Tangazo la TBC naibu waziri Mulugo

    Katika hali hii..ninakubaliana na hoja ya Mawaziri wasitokane na wabunge..maana kikwete ameshindwa kupata uwanja mpana wa uteuzi maana hao ndo walioko bungeni..wataalamu wako mtaani na maofisini
  7. nampapara

    JamiiForums Tanzania Babu wa Loliondo: Adamu na Hawa waliishi Ngorongoro

    Haya makubwa tena!!! Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  8. nampapara

    JamiiForums Tanzania Chama kipi cha siasa kinachofaa kwa sasa?

    Wewe nimeelewa lengo la kuuliza swali hili...ni kujenga chama chako..ila umetumia mbinu ya kijinga sana. 1. Ni mgogoro gani mkubwa wa viongozi wa CDM? 2. Suala la kufukuza wasaliti wa chama linafanyika CDM tu? 3. Vyote ulivyovitaja umejikita kueleza kasoro zao ndogo amabazo haziathiri Watanzania...
  9. nampapara

    JamiiForums Tanzania Mulugo: Adhabu ya viboko kwa wanafunzi shuleni itarudishwa ili kujenga nidhamu

    Hivi mheshimiwa ameshauriwa na nani pale wizarani juu ya jambo hili? Nahisi alipewa muda mrefu wa kuongea kwenye huo uzinduzi wa tovuti, alipoishiwa yale aliyoandikiwa ndipo alipoibuka na hili. Hii si mara ya kwanza kwa yeye kuongea jambo jipya la kiwizara na baadae kudhihirika kuwa lilikuwa...
Back
Top Bottom