ahh ndugu nakuonea huruma mpaka ufanye hayo unayotaka utakuwa ushapoteza nguvu zako......ni bora ukalime kuliko kuwa katika chama hicho ambacho viongozi wake wamewandaa watoto wao kurithi na kusimamia irani ya chama na maslahi ya baba zao na kizazi chao.........tushapoa msiba wa mangweair
jambo la muhimu hapo mdogo wangu amwache mwanamke ajifungue kwanza thn wafunge ndoa ukijaribu kufungisha ndoa na mwanamke ni mjamzito ina maana mwanaume anafunga ndoa na watu wawili kitu ambacho si sawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.