Recent content by NAMDORY

  1. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Hameed Jongo: Walioichangia CCM wamechangia Amani na Maendeleo

    Shekhe samahani nakusahihisha. Zimechangwa kwaajili ya Kampeni ya uchaguzi. Na sio kachangiwa mama Samia lahasha,tumechangia chama chetu. sio za maendeleo.
  2. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Hili la bahasha mlizopokea ili muwapigie kura watia nia, litawaghatimu. Vijana waliokuwa hawana bahasha na walikuwa na sera nzuru

    Hata Mwanga zimetembea bahasha ,bila kificho. Uchumibwa Mwanga kipandi hiki ni WA bilioni moja na milioni miatano. Hakika wasipozitunza Sasa wasubiri Tena miaka mitano ijayo.
  3. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Hili la bahasha mlizopokea ili muwapigie kura watia nia, litawaghatimu. Vijana waliokuwa hawana bahasha na walikuwa na sera nzuru

    Mmefanya hivyo mjue itawagharimu. Mtoa rushwa sikozote hana msaada.mtanikumbuka kwayo. Maana tumeshindwa kujiuliza kwanini watia Nia wanawapa takitoma? Hamjawahi kujiuliza swali hilo. Nawanasihi msimchague mtoa Rushwa,ni adui kwenu. Mie napita tu.
  4. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mgema hasifiwi
  5. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Hata Mwanga ana mungu Joto la Jiwe ajuaye Mjusi
  6. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Manispaa wamekuja dukani kukagua leseni, wadai sina Service Levy, nini maana yake?

    Leo Manispaa wamekuja dukani kwangu kukagua Leseni ya biashara. Hiyo ninayo,lakini wakaniambia Sina Service Levy. Nauliza nini maana ya Service Levy? Inamaanisha nini ijapo nimeilipa.
  7. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Tegemea hili kutokea juu ya Tundu Lissu hivi punde

    Uhalisia ukoje.tuoe dondoo
  8. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Samia, CCM na Polisi someni alama za nyakati, Lissu ni mjumbe tu, ni kivuli kile!

    Kaka hakika umenikumbusha,kitabu kimoja nilicho soma zama hizo. Uko sahihi. Umefikiaha ujumbe kwa umakini. Ila je wanajua kutafsiribjumbee? Tusuburi tuone
  9. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji naomba ufuatilie hili

    Inaonekana DAWASA hawana wataalam wa hizi kazi WATER LABORATORY TECHNICIANS hawana viwango na utaalamu wa kufanya hii kazi ya kusafisha na kutibu maji katika mitambo yao Mheshimiwa waziri wa maji lianglie hili haya ndio matokeo ya ajira za kipeana matokeo yake wanahat1risha afya za wananchi
  10. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Inaonekana DAWASA hawana wataalam wa hizi kazi WATER LABORATORY TECHNICIANS hawana viwango na utaalamu wa kufanya hii kazi ya kusafisha na kutibu maji katika mitambo yao Mheshimiwa waziri wa maji lianglie hili haya ndio matokeo ya ajira za kipeana matokeo yake wanahat1risha afya za wananchi
  11. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Tunapewa maji yasio safi na salama. Kwa matumizi ya binadamu. Wakazi wa Mbagala Mwanamtoti kutoka mtambo wa kuzalisha maji mtoni

    Ndugu zangu wa DAWASA tunapokea maji yenu lakini hayana ubora unaostahili ni hatari sana kwa afya za binadamu 1. Sidhani kama yanafanyiwa usafi (Cleanliness) 2.Yanatibiwa(Treatment) 3. Maji yenu Yana ugumu (Hardness of water) 4. Maji Yana harufu 5. Maji Yana kutu 6. Sisi wananchi wa...
  12. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Kwani ujinga ni nini?

    Hakika
Back
Top Bottom