Recent content by Nambarapi

  1. Nambarapi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini katika hili?

    Hana akili kabisa yani
  2. Nambarapi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Arosto
  3. Nambarapi

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Simbu aweka muda bora 2:04:38 Valencia Marathon 2024

    Yaap berlin atakimbia mda mzuri zaidi maana inasemekana njia yake haina milima mikali kabisa 90 asilimia ni tambarare
  4. Nambarapi

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Simbu aweka muda bora 2:04:38 Valencia Marathon 2024

    Kwa taarifa, simbu alitoka kushinda mbio za Majeshi zilizofanyika trh 23 nov 24 week moja mbele yaani leo kashindana valencia, sio rahisi kama mnavyofikiria asee, tena kakimbia kwa muda wake bora
  5. Nambarapi

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye Diploma akiingia Jeshini (JWTZ) anaanza na cheo gani?

    Achana na elimu Shughuli hutaiweza
  6. Nambarapi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Swali la msingi hasa, biashara na ndumba viko pamoja Tusubiri jibu
  7. Nambarapi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    2202hrs
  8. Nambarapi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Shukrani
  9. Nambarapi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Upo sahihi, mwanamke mwenyekipato ndoa sio kipaumbele chake
  10. Nambarapi

    JamiiForums Tanzania Alphonce Simbu: Hatukwenda kuiangalia njia(Olimpiki 2024), tuliiona tu kwenye Mtandao

    Maku wazazi wako walikulea mjinga
  11. Nambarapi

    JamiiForums Tanzania Alphonce Simbu: Hatukwenda kuiangalia njia(Olimpiki 2024), tuliiona tu kwenye Mtandao

    Itoshe kusema ww ni fala, nachokizungumza hapa nakijua haswaa Unaongea usichokijua kabisa, ngoha nikuache na umbea wako
  12. Nambarapi

    JamiiForums Tanzania Alphonce Simbu: Hatukwenda kuiangalia njia(Olimpiki 2024), tuliiona tu kwenye Mtandao

    Ndio maana nakwambia hujui hao akina simbu wanapatikanaje, kama wizara au TOC wanapeleka watu wao mbona hatuwaoni, akina simbu wamefuzu viwango kwa time iliyowekwa na kamati ya olympic ya dunia
  13. Nambarapi

    JamiiForums Tanzania Alphonce Simbu: Hatukwenda kuiangalia njia(Olimpiki 2024), tuliiona tu kwenye Mtandao

    Ebu mtaje huyo mkimbiaji mwingine tumjue badi, mi nawajua hao wawili simbu na geay labda giniki
  14. Nambarapi

    JamiiForums Tanzania Alphonce Simbu: Hatukwenda kuiangalia njia(Olimpiki 2024), tuliiona tu kwenye Mtandao

    Hkn anachokijua huyo ndio maana hana hoja ya maana
  15. Nambarapi

    JamiiForums Tanzania Alphonce Simbu: Hatukwenda kuiangalia njia(Olimpiki 2024), tuliiona tu kwenye Mtandao

    Ebu nieleweshe mchakato hadi akapatikana na kushindana olympic mkuu, maana nahisi hkn unachojua
Back
Top Bottom