Recent content by NAMASTE

  1. N

    GE2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

    Nimesoma na kufuatilia kwa karibu majibishano kati ya Lisa na Ernesto Sheka. Kwanza napenda nimshukuru sana ndugu Ernesto. Amembana vizuri sana huyu dada. Kwanz kuweka rekodi sahihi Rais Kikwete hakuwahi kufika DC 2005 akiwa Rais. Safari ya kwanza ya Rais ilikuwa Kampala nayo ilikuwa Feb 2006...
  2. N

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Nyani Ngabu natamani ungekutana na dada huyu ukamuona ni msomi wa kutosha. Watanzania wanahitaji wasomi kama Angela wawe bungeni kusaidia baadhi ya mambo ambayo hayendi sawa. Tumpe muda bunge litazinduliwa November utaona mambo yake...kwa nini uandikie mate ili wakati wino upo..? Ukiwa huko...
  3. N

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Ni vyema tukakumbuka kuwa Angela Kairuki hii si mara ya kwanza kugombea ubunge. Aligombea 2005 na wakati huo wala hakuwa Vodacom. Sasa mbona kipindi kile hamkuona uhusiano wa Angela na mafisadi akina Rostam..? Hii ni maraya pili amejaribu na amekubalika kachagulika tena kwa kura nyingi sana...
  4. N

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Watu kama akina Jnauary Makamba ndio wa kuwaangalia wamefadhiliwa na mafisadi na hilo linafahamika sana. Nani hasiyefahamu kuwa kuna kipindi alionekana Dubai akiwa na Rostam Aziz...??
  5. N

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Kama ni suala la ufadhili sio kwa Angela Kairuki. Hana haja ya ufadhili wa fedha za mafisadi. Kama wapo ambao wamefadhiliwa na mafisadi na ushahidi tunao, hao ndio wa ku-deal nao hasa. Unafahamu kuna wagombea wengine wameshindwa na nahisi hapa kuna dada mmoja mwandishi wa habari, aliyeshindwa...
  6. N

    Nani huyu Angellah Jasmine Kairuki

    Ndugu zangu habari za siku tele. Nimerejea na kuona hii post hapa nikavutiwa kuchangia. Kwanza kabisa nianze kwa kusema kuwa huyu dada kwa shule tu alizosoma ana uwezo wa kuwa Mbunge mzuri na wa kutetea wanyone watanzania kama tulivyo sisi. Kama kawa Katibu wa Mary Nagu akiwa waziri wa sheria...
  7. N

    Exclusive: Ikulu hawataki MNF ijenge "twin towers" karibu yao

    Nimeshiriki ili kutoa maoni yangu. Na bado naamini kuwa tusipoteze muda wa kujadili hoja ambazo nia ni majungu tu. Mzee Mwanakijiji pale juu kaongea hoja ya haja kuhusu kuhamia dodoma, ndoto bado.
  8. N

    Exclusive: Ikulu hawataki MNF ijenge "twin towers" karibu yao

    Nadhani wakati mwingine tunakosa mwelekeo wa majidiliano. Kwa wakti huu hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu ni vyema tukajidili hoja za maana kabisa na zenye kusaidia badala ya kupoteza muda kwenye masuala yasiyo na tija kama hili la MNF.
  9. N

    Exclusive: Ikulu hawataki MNF ijenge "twin towers" karibu yao

    Ndugu zangu nakupeni heshima kwanza na salaam. Kwanza kabisa sina hakika kama habari hizi ni za kweli. Ni kweli pale kuna majengo yenye urefu uliozidi wa hayo majengo pacha ya MNF yanayotakiwa kujengwa eneo hilo. Ndio maana nasema mleta abari hizi sidhani kama kafanya utafiti wa kutosha. Fahamu...
  10. N

    Why I Love Kikwete - I really Do... The Most Consistent President!

    Siajasema kuwa Rais huwa hafanyi makosa. Yeye ni binadamu kama wengine. Ninachokisema hapa hasa kuangalia hiyo picha ya hapo juu, ni kuwa yeye Rais hakuwa na kosa kwa maana cheque walioandika ni wengine. Iweje sasa tumlaumu yeye?? Kumbuka ile chequ kaiona pale jukwani jamani. Let us be honest...
  11. N

    Why I Love Kikwete - I really Do... The Most Consistent President!

    Katika picha hiyo hapo juu naamini yeye hana kosa hata kidogo katika makosa yaliyopo kwenye cheque. Wenye kutoa cheque ilitakiwa wamuombe rais msamaha kwa kosa lile. Kumbuka rais ameiona ile cheque muda ule wa kukabidhiwa. Sasa mkuu wa shirika linalokabidhi cheque kwa nini hakuliona hilo. Makosa...
  12. N

    Why I Love Kikwete - I really Do... The Most Consistent President!

    Ndugu yangu Mwanakijiji, ni kweli kama unataka kumsaidia mtu ni vema kumkosoa kwa yale mabaya hayafanyayo na pia vyema kumpongeza kwa yale mazuri aliyoyafanya. Ninaamini waliokuwa karibu naye huwa wanamueleza na kumkosoa kama vile ile hotuba ya wazee wa Dar. Ilikuwa kali mno kuliko suala...
  13. N

    Why I Love Kikwete - I really Do... The Most Consistent President!

    Ndugu wana JF, Salaam, kwanza napenda nitangulize heshima kwenu. Naamini hapa ni uwanja wa fikra zilizo komaa. Napenda nichangie mada hii. Kwanza kumskosea heshima Rais au Kiongozi wako, ni utovu wa nidhamu. Hata kama humpendi Rais wako, lakini mpe heshima yake. Viongozi wamechaguliwa kwa...
Back
Top Bottom