Recent content by Namasangya

  1. N

    JamiiForums Tanzania Zitto ndani ya kipindi cha Dakika 45 za ITV - Machi 16, 2015

    Nakuunga mkono.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Zitto ndani ya kipindi cha Dakika 45 za ITV - Machi 16, 2015

    Zitto big up bro. Kaza buti kijana uwafungue macho vijana wenzako waelewe michezo michafu inayochezwa na wanasiasa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe ahusishwa na kupokea rushwa bandarini kupitisha mkataba wa kinyonyaji

    Unasubiri usainiwe halafu ufanyeje? Upinge kabla haujasainiwa ili uwekwe wazi tujue mapungufu yake na mazuri yake. Sasa wewe subiri watu wachukue bandari bdo uone utafanya nini.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote

    Hahahaaaaaaaaaa Hakiyanani umenichekesha mno yaan.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote

    Mh! Hapo kuna utata Lundenga anasema wagombea wote walileta vyeti original na Sitti anasema cheti chake kilipotea. Kipi ni kipi hapoooo?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    Connection ni kwa chochote unachosomea sio sociology pekee, thats why hata hao lawyers bado wengine wanasota mtaani
  7. N

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    Nijuavyo mimi wanasheria wengi wamesoma HKL na HGL Maana vigezo ni pamoja na kuwa umefaulu vizuri kiingereza na historia..... Halafu mtu anajinadi anavaa suti... Huko mashuleni wako wapondaji pia huita masomo ya kike halafu hayo ya kiume yanawamwaga na kujikuta wakimbilia sheria.... Eti COMBI...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    Bongo ni Technique know who na sio Technique no what!!!! Upo hapooooo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    Hahhhaaaaaaaaaaaaaa nicheke nipate afya miyeeeeeee Kazi siku hizi bongo sio umesomea nini ni unamjua nani. Rushwaaaaaaaa. Shikamoo Tziiiiiiii
  10. N

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    WORDS!........ Ila ya Nikki inakukata maini?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    Wana jf jumapili njema. Leo nataka kwenda kuabudu pale Tanganyika packers anayepajua anielekeze jinsi ya kufika n
  12. N

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    ?????????
  13. N

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    Unayameza maneno ya kinywa chako mwenyewe.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

  15. N

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

    Unajua kusoma bongo ni sheeeeedddaah. Kimtu kikisomea kitu fulani kinawadis wenzake waiosomea kotu kingine. Kuliwekwa kozi mbali mbali kwa mantiki kabsaaaa. Hebu fikiria leo hii Tz kungekuwa na masomo ya uhasibu tuuuu vyuo vyote hali ingekuwaje? Tafakari kabla hujasema. Huo mtazamo wa...
Back
Top Bottom