Hivi we Rushasha ni mkewe Bujali au ni house girl wake?sasa mwambie huyo ---- wako kwamba kwa oungo wake na fit ina zake tumegundua amependekezwa ubunge wa katiba na mafala wenzake na tutahakikisha hapati ndo mtutambue.
Chadema my hell!sort issues zenu na zzk ndio mje ngara tuwapime utapeki ja usanii wenu..huyo ---- mwenzenu Bujali eti docta mpelekeni ngala km mnavyoandika mafala wakubwa sisi we are talking abt ngara civilised cutizens nendeni shule kwanza na jambazi wenu Bujali ambaye dar anajifungia ndani tu...
Dr Bujali mimba za watoto wa shule unazochomoa kila siku zinakutia wazimu sasa.i was there huu ni uongo wadanganye bukililo sie kabanga tu najua u jambazi wako.
Mosacha..I share your views 100%,Gesi,mabucha,ponda,etc need we not solve our domestic issues kwanza jamani? Hebu imagine jamaa aje Kwenye kaya yako ateketeze uko wako mzima then atorokee kijiji jirani apate hifadhi na support ya kuendelezea unyama wake.then Mimi Nije nikuambie rafiki yangu huna...
Utamsaka nani we si lofa tu,sasa anza na Mimi hapa ni mtutsi kweli na sio mhamiaji haramu....do you need my full address and details to make your stupid job easy?
Bongolala acheni mchezo kwa Kagame at all,vita mnayoijua nyinyi ni ya kugombania nani achinje kitoweo,au kuzuia gas isinufaishe nchi nzima ona mlivo nyuma kabisa. Kagame yeye anachapa kazi na Inaonekana sio mzaha,Tanzania na rasilimali zote angepatikana rais kama Kagame immediately after Mkapa...
Bongolala acheni mchezo kwa Kagame at all,vita mnayoijua nyinyi ni ya kugombania nani achinje kitoweo,au kuzuia gas isinufaishe nchi nzima ona mlivo nyuma kabisa. Kagame yeye anachapa kazi na Inaonekana sio mzaha,Tanzania na rasilimali zote angepatikana rais jam Kagame immediately after Mkapa...
Speak it loud Bashewe ni mkweli siku zotemimi ni ccm Kama wewe,lakini kwa hili hata Mimi naona RC anampa umaarufu Lema for nothing,na it's political immaturity ya Hali ya juu Kama Mimi boss wake nafukuza hapo hapo.
Speak it loud Bashe we ni mkweli siku zote mimi ni ccm Kama wewe,lakini kwa hili hata Mimi naona RC anampa umaarufu Lema for nothing,na it's political immaturity ya Hali ya juu, Kama Mimi boss wake nafukuza hapo hapo.
Kifulambate umesummarise it all.......wakati Kenyatta Jana anamwaga sera za laptop mashuleni sisi tunagombania nani achinje kitoweo,na jamaa yetu alikuwa pale full kucheka tu na kutikisa tikis a boat zake......jamaa ndio wanatuacha speed 800!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.