Recent content by Nallaboy

  1. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Hukuelewa, ile video uliipata nusu. Tafuta yoooooote uiangalie vzr. Lowassa rais
  2. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Kukimbia sio suluhu ya kuondoa tatizo

    Huo ni uhuni. Jimbo limegawanywa Na yy anahaki ya kwenda popote. Acha ukichwa Nazi mleta mada. Hao UDSM unao waimba watakuwepo chuoni tr25 October?
  3. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

    Duuuuh! Kwa facts zipi mleta mada?
  4. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Lowassa na kundi lake watumiwa bila kujijua

    Mleta Uzi huu unatumika vibaya. Jipange upya
  5. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Ccm ndembendembe
  6. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Tumebadilika wote
  7. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria kama "Lissu" anaposhindwa kuijua hata Katiba ya chama chake…!

    Yaani ccm wanafanya siasa za watoto mwakahuu
  8. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni bora kuliko wagombea wote wa urais

    Magufuri bora kuliko wagombea uraisi woooote kama akipewa wizara ya mabarabara.
  9. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria kama "Lissu" anaposhindwa kuijua hata Katiba ya chama chake…!

    Kujikanyaga anajikanyaga hata mwanasheria Mkuu wa serikali, itakua lissu. Ukawa ikulu
  10. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Yote tisa, kumi CCM wametuweza kweli kweli

    Ukawa ndio tegemeo la watanzania. Nyingine porojo
  11. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Wasanii kuweni wazalendo

    Wasanii wetu njaa Kali, hivyo wanaona ni bora waongeze mbwembwe ili waonekane wamejituma walipwe poa
  12. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema akiuka maagizo ya Rais wake

    Umeme unakatika, lkn afadhali ipo. Mtaani kwangu badala ya kupata umeme kwa masaa2 tu tena usiku, sasa wanakata masaa mawili mpaka manne tena usiku.
  13. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Ongeza damu: Tengeneza na kunywa juisi hii

    OK mkuu
  14. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Machemli, mbunge wa CHADEMA, ahamia ACT Wazalendo

    All the best Machemli. Pole pia kwa kushindwa kura za maoni chamani kwetu
  15. Nallaboy

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Natishwa

    Aende ccm kujenga taifa? Duh
Back
Top Bottom