Recent content by naleas

  1. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya Vitunguu Singida

    Apana nipo kahama boss
  2. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya Vitunguu Singida

    Samahani aisee wadau kwa yeyote anae jua bei ya vitunguu SINGIDA anijuze ...nahitaji gunia kama ishirini namba angu 0710686877
  3. N

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Inabaki ivo ivoo ukishapangia hayo maneno ya no approved allocation yanatoka na kama hutapata yanabaki ivo ivo siku zotee ...we kama ni continue na umeomba mkopo kupata uhakika subr batch ya continue ipooo special nasema coz na evidence asilimia 10000
  4. N

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Acha kudanganya watu ukweli ni mzuri ila unauma huyo bado hajapata ..........na ninauzoefu kozi mm ni continue
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa mkopo kwa mwanafunzi anae endelea na masomo

    Apoo sawa nmeelewa kiongoz asanteh saana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa mkopo kwa mwanafunzi anae endelea na masomo

    Vp mbna unashangaa mzee
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa mkopo kwa mwanafunzi anae endelea na masomo

    Ahaaaa kumbe inawekana.....chuo ni udom lakn
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa mkopo kwa mwanafunzi anae endelea na masomo

    Jaman nna swali et kwa mwanafunzi anae endelea na masomo mwaka wa pili akiwa ana sap ya somo moja anaweza pangiwa mkopo endapo kaomba na alkosa mwaka wa kwanza?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Sjaelewa hikiii
  10. N

    JamiiForums Tanzania Je, shahada ya sayansi katika Kemia ni ualimu?

    Unasoma ili uajiliwe!???? Acha kukalili maishaaa soma upate taaluma sio kuajiliwa nyiee nd mnakatisha tamaa watu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je, shahada ya sayansi katika Kemia ni ualimu?

    One of the best ..... ushauri wako nmeukubali saana bro salute kwakoo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, shahada ya sayansi katika Kemia ni ualimu?

    Hiiii mtu anafanya KAZI wapi haswaaa??
  13. N

    JamiiForums Tanzania Je, shahada ya sayansi katika Kemia ni ualimu?

    Hellooo mkuu waweza Nipa namba qke
Back
Top Bottom