Recent content by Nalanala

  1. N

    ...Nikamwambia nenda kwa Polepole akukopeshe

    Hawa wasaliti hiyo ndo dawa yao
  2. N

    Maandamano haya yanaweza kubadili uelekeo na kuwa sababu ya kumtoa Trump madarakani

    Dah... haya ndugu, kila la heri! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Maandamano haya yanaweza kubadili uelekeo na kuwa sababu ya kumtoa Trump madarakani

    Kwa nini unapenda ashinde ili aendelee kuivuruga marekani? Unaichukia US kiasi hicho? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Maandamano haya yanaweza kubadili uelekeo na kuwa sababu ya kumtoa Trump madarakani

    Rais kama Trump hafai kabisa kwa nchi kama Marekani. Akishinda uchaguzi binafsi ntaumia sana. Ila sioni akishinda Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Maandamano haya yanaweza kubadili uelekeo na kuwa sababu ya kumtoa Trump madarakani

    Ishu ya corona na jinsi alivyoshughulikia ishu ya Floyd vimemshusha sana. Saivi hata wale top military people na wenzake wa Republican wamekuwa wakimsuta hadharani. Yupo katika sehemu mbaya kisiasa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    93% ya mauaji ya mtu mweusi USA, yanafanywa na mtu mweusi, Black Lives Matter muuaji anapokuwa mzungu tu?

    "Get your knees off our necks" Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Maandamano haya yanaweza kubadili uelekeo na kuwa sababu ya kumtoa Trump madarakani

    Nilikuwa nachukulia poa hii ishu ya Floyd na ishu nzima ya ubaguzi wa rangi lakini baada ya kuangalia video jana nimeogopa sana. Mitaa nayoishi ni ya wazungu watupu mpaka nimeanza kuwa na hofu kutembea mwenyewe barabarani. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Maandamano haya yanaweza kubadili uelekeo na kuwa sababu ya kumtoa Trump madarakani

    Hapiti hata kwa dawa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    Maandamano haya yanaweza kubadili uelekeo na kuwa sababu ya kumtoa Trump madarakani

    Trump amevuruga nchi. Akishinda uchaguzi November nitaumia sana! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    Kwa Kinachotokea US, Waafrika Tunajidanganya Sana kuhusu wazungu, Tusijidharau kiasi hicho

    Bora niuawe na polisi wa marekani mzungu maana najua walau watu wataruhusiwa kuandamana kunipigania na hatua zitachukuliwa dhidi ya mtesi wangu kuliko kuuliwa na polisi mtanzania mwenzangu na bado serikali yangu isiwafanye chochote watesi wangu na watu wasiruhusiwe hata kupaza sauti zao...
  11. N

    Kwa Kinachotokea US, Waafrika Tunajidanganya Sana kuhusu wazungu, Tusijidharau kiasi hicho

    Tanzania wanajeshi wangeingia barabarani wangeua raia. Kwanza hata raia kuingia barabarani Tanzania isingewezekana. Mpaka leo hatujui nani alimuua Akwilina. Kitendo cha askari waliohusika kuchukuliwa hatua na raia kuruhusiwa kuandamana hiyo ndo democrasia na uhuru wa raia na kuheshimu haki za...
  12. N

    Kwa Kinachotokea US, Waafrika Tunajidanganya Sana kuhusu wazungu, Tusijidharau kiasi hicho

    Unafiki uko wapi sasa?? Hujasikia huyo polisi kashafukuzwa kazi na kashakamatwa tayari? Wazungu kwa weusi wote wameandamana vila shida kupinga Kitendo alichokifanya polisi. Huoni kuwa marekani iko mbali katika kulinda haki za binadamu? na Tanzania je? polisi inaua raia na serikali haifanyi...
  13. N

    Kwa Kinachotokea US, Waafrika Tunajidanganya Sana kuhusu wazungu, Tusijidharau kiasi hicho

    Watu mnavyoifatilia marekani hadi inashangaza. Nimeamini marekani ni celebrity country Orodha ya Mataifa matano makubwa duniani; 1. Marekani 2. Marekani 3. Marekani 4. Marekani 5. Marekani Sent using Jamii Forums mobile app
  14. N

    Tukio la George Floyd limeonyesha ukatili wa wazungu wanaheshimu Mbwa kuliko Mwafrika

    Kweli nyani haoni kundule. Hivi police Tanzania wanavyoua na kuteka raia kila siku na hawafanywi chochote hamuoni, mnaona na kukosoa ya marekani? Akwilina alivyouawa polisi yule alifanywa nini? Si bora hayo ya wazungu kuliko nyie mnayofanyiana wenyewe kwa wenyewe? Kina Ben saanane wamepotea...
  15. N

    Watanzania nawaomba tuache sifia Kila kinachotoka katika kinywa cha Rais tutaangamia wote

    Enzi zile za kitimoto ulikuwa na akili. Sikuhizi sijui umepatwa na nini Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom