Recent content by Nakuchukia sana

  1. Nakuchukia sana

    Kwa mara ya kwanza nimeingia Sirari Kenya, tofauti ni kubwa sana, Watanzania bado tupo fofofo

    Mimi nimekaa kenya miaka 5, nilienda huko 2017-2022.Nilikuwa na piga kilimo maeneo yao loitoktok\kimana mm nikiwa kama msiha wa sanya juu,nilivimba skujal lolote ila nlipiga pesa sana .watu wakule wanaroho nzur tatizo tu n ukabila. ila wachaga weng wapo sana hayo maeneo,ndoh unaona...
  2. Nakuchukia sana

    Demu kanikataa live?

    Nimetokwa na machoz, nkikumbuka venye dem huyu nlivyojitoa kwake. kwel n machungu na nimeumia sana,nlijinyima iliapate,ila amesema hanitak mm sio ya type yake,saiv yupo na mjuba mwenye mapen ten tajir ila mm wacha niendelee kula miayo,maan maj yakimwagika haizolek.ila ni cha jifunza...
  3. Nakuchukia sana

    Mwenye kumjua mganga mzuri anayetoa ndagu za utajiri anisaidie

    Kuna mwamba anatumia dawa ,ila maisha yake mazuri.Ila hana furaha amezingirwa na kaburi kwake,kasha toa wazazi,mke na watoto kafara kaka usipende vya shetan,utavilipia hapa dunian,shetan hana cha bure.Pambana hamna kitu kizur kama...
  4. Nakuchukia sana

    Mazoea yanaleta dharau

    Napenda ninavyochukiwa maana nafurah sana,ila kupendana n ushenzi.chuki ziendelee ndio mpango mzim,
  5. Nakuchukia sana

    Hivi nini kinachangia visa vya ukatili, kwenye ndoa au mahusiano?

    Kila kukicha sifa ya ndoa au mahusiano inazidi, ikipata sifa mbaya vijana wengi wana wasiwasi kuanzisha familia Maana saiv n majanga juu ya majanga Watu kuuana ndio umekuwa mtindo, upendo haupo ni unyamira tu ndio umezidi. Tanzania yetu sasa hivi haiwezi pita wiki ujasikia, mke kauwawa na...
  6. Nakuchukia sana

    Hivi uume mkubwa unaanzia size gani?

    God first ,Money second, sex later
  7. Nakuchukia sana

    Mtu anayedaiwa akigusa nyeti zako zinapotea azua taharuki Tunduma

    Aje hapa dar haya mabacha yametuzingua sana,na asisahau na wasagaji pia
Back
Top Bottom