Recent content by NaKiM

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sumaye kawasaidie UKAWA hawajui la kufanya kule Dar

    Duh kweli kura za ccm zinatoka kwenye akili ndgo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tembelea Wizara ya Maji ujionee madudu

    Nipo kwenye hiyo sector nibalaa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mchapakazi anapoenda kazini bila vitendea kazi

    Wakati mwingine nahisi halijui hilo. Hazima kumekauka TRA hawakusanyi kodi serilali inadaiwa kupita kiasi. Najiuliza magufuli atatekeleza ahadi zake kupitia fedha zip
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Naona ziara ya Mh Rais kule wizara ya fedha imekuwa topic. Ila mi nachojiuliza. Kweli kabisa Rais anapokwenda wizara ambayo ndyo moyo wanchi anachkutana nacho nachakufanyia kaz nimahudhurio. Inamana hakuna taarifa sahahihi toka management ya wizara juu yawatumishi nautendaji kazi wao. Inamana...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Our Democracy Lives On, Imperfect As It Is

    Mpaka hapa MMM umenifanya niamini uandishi wakiunaharakati nikipaji nawito nasi tendo lakukurupuka au kutegemea kupata kitu cha kuweka kinywani
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa sana (A GRAVE MISTAKE) kwa CCM kutofungia kampeni Dar

    Nimeongea namstaafu mmoja wa ccm naserikali amelaumu sana chama chake kutokufungia cmpn dar
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Shule ya Jangwani - Ifakara: Mkutano wa Kampeni wa CHADEMA

    Makamanda karibuni
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mgombea udiwani wa CCM ampigia kampeni Lowassa

    Jah People kule Njombe alishaiambia team campn yake marufuku kumnadi magufuli nayeye kura yaurais nikwalowasa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Over 1,000 Industries to be built as Construction of $10 billion Bagamoyo Port begins in Tanzania

    Ilikuwa niwakati wa southern corridor dev project and not this one. Kupanga nikuchagua
  10. N

    JamiiForums Tanzania Vipaumbele vya wagombea

    Umeshafikiria deni LA triliom 45
  11. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Hiyo Helicopta juzi ilipita kwenye mkutano wa chadema hapa Njombe nakufanya vurugu zilizosababisha kuongezwa kwa dk 15 za mkutano kwa ajili yakufidia mud a. Baada ya dk chache ilikwenda kutua Njombe airport nikaona imefunguliwa ikitengenezwa I hope ilikuwa mbovu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

    Mtoa mada wachangiaji naona mlijipanga vizur. Haya mukamchk aliyewatuma mumwambia kaz tayar
  13. N

    JamiiForums Tanzania Majina manne ya Lowassa ni yapi?

    Lumumba naona mmeishiwa chakusema nasasa hadi chakuandika. Majina yaliopo kwa ofc ya Lubuva yanatutosha hayo mengine nenda nayo ww.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa akiwa Segerea, haijawahi kutokea

    Tunashukuru kwa picha. Lazima wakae mwaka huu
  15. N

    JamiiForums Tanzania CCM ondoka nyumbani kwangu!

    Pepo litatoka tu
Back
Top Bottom