Recent content by Nakembetwa Ezekiel Kajila

  1. Nakembetwa Ezekiel Kajila

    JamiiForums Nilimpenda, akanifanyia mbwembwe hadi akani-block kwenye social media. Sasa anadai ananipenda!

    Usije ukashawishika na ushauri wa rafk zako ,,,siku zote Ni vyema umpate mwanamke anaekupenda co yule anaeigiza anaekupenda kwakua tu amekosa alikotarajia,so inabd tu abadl mtazamo ndoa h haitakua ya furaha na Aman, tafadhali tafuta mwanamke atakaekupenda kwa dhat na kukithamn na mengneyo
  2. Nakembetwa Ezekiel Kajila

    JamiiForums Mwanaume uliza swali lolote hapa, sisi wanawake wa MMU tukujibu

    Kafanye uchunguz ikiwezekana urudie kwa mmoja kwa ustad wa Hali ya juu
  3. Nakembetwa Ezekiel Kajila

    JamiiForums Taja Jina zuri Kwa mtoto

    Naomba jina zuuri la mtt wa kiume jina la kikrito,,,lenye maana nzuri kwa mzaliwa wa kwanza
  4. Nakembetwa Ezekiel Kajila

    JamiiForums Je, kuna athari gani kuoa mwanamke alokuzidi umri?

    Hapo umenipa faraja maana hata mm ninae hvohvo kama we nataraj kufunga ndoa karibuni
  5. Nakembetwa Ezekiel Kajila

    JamiiForums Je, kuna athari gani kuoa mwanamke alokuzidi umri?

    Kuna athari zipi kuoa mwanamke alokuzidi umri?
Back
Top Bottom