Wanatoa mbili mboli, ya kwanza ambayo unaweza kutrack mzigo kianzia kwa seller inaanza na herufi mbili mwanzo halfu namba mwisho haina herufi, ila mziko ukishaondoka China kuja tz kunakuwa na track no tofauti inaanza na UV inaishia na UZ hiyo unaweza kuitumia kutrack kwa Global Post
Kwasasa naona hata poster wana speed, nimeagiza parcel kama tatu tofauti, siku 14 imefika japo poster naona sikuiz hata kitu cha $1 unalipia, na wanakupa control namba kabisa ya kulipia. Nahisi wameshtuka Speedaf wanataka kuwapiga bao
Kama hivyo vipimo ni kwa Cm itakuwa 0.02CBM inaweza kukugharimu mpaka 10$ kuja tz. Ila hapo supplier anaweza kuku charge gharama ya kusafirisha mpaka kwa shipping agent wako kama hayupo karibu naye.
Hapana Kwa meli wana charge kwa CBM, CBM moja kuna wana charge 400/450/500$ kutokana na aina ya mzigo, na kama mzigo wako haujafika CBM kuna namna ya kukokotoa kupata gharama ya mzigo wako na kwa ndege huwa wanacharge kwa KG na kg moja buwa inaanzia $13 kutegemea na kampuni unayotumia
Mbona kama hiyo ni gharama ya kununulia? mana kama pcs 1= 5.65$ mara 30pcs ndo inakuja 169.5 Usd.
Chakufanya mwambie una shipping agent, akupe gharama za 30 Pcs, Tafuta Local Shipping Agent (ninauzoefu na Jamaa wanaitwa Shamwaa wako faster) Mwambie supplier akupe dimension ya box iliyobeba hizo...
Siku ya 12 Leo imepokea Parcel yangu Arusha. Nilichokipenda SpeedAf wako faster, na kama wakiendelea hivi tutakuwa tumepata mkombozi, Pia kwa arusha agent nimependa hawakupi mzigo bila ya kitambulisho na unaweza kufanyiwa delivery ulipo kama ukitaga. Ukikabidhiwa parcel unalipia 1000 Tuu hapo...
DHL unaweza kushangaa shipping fee inakuwa kubwa marambili ya bei ya kununulia product yako. Nimeagiza zaidi ya mara 20 natumia free shipping au nikilipia shipping haizidi Tzs. 5000 na Mizigo yote imefika kanma nilivyoagiza. unachotakiwa kabla ya kuagiza soma review za seller hapo ndo utajua...
Mkuu, Haimaanishi kila aliyefanyiwa jambo flani na wewe utafanyiwa. Kipindi kile watu walikuwa wanalalamika parcel zao kupotelea post office, ni kweli ila wengine wakati huohuo tulikuwa tukiagiza na tunapata bila shida. Unapoamua kuagiza kitu kubaliana pia na Risk unayoweza kutana nayo haswa...
Nilichogundua kwa ChatGPT ni kuwa unaweza kuiona haikupi majibu sahihi kutokana na jinsi ulivyo uliza swali lako.
Mfano kuna Project moja nilikuwa nafanya wakati huo Chatgpt ndo imeanza kuwa gunzo, Moja kwa moja nikaona ngoja niijaribu.
Nilianza kuiomba inisaidie kuandaa business plan na wakati...
Kama Ni SpeedAf wanao ship wakiupata tuu wanakutaarifu kwa Email.
Mwanzo wa week niliagiza SSD naona ishaondoka kuja TZ. Naona wako Speed kama wanavyojiita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.