Recent content by nakanga omary

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni tena, ni baada ya kunyimwa nafasi ya Muongozo

    Hivi mwazani ccm kama mukiindelea natabia hizi za kipuuzi sidhani kama mtafika
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hata mimi siasa za CHADEMA naziweza

    Ccm hawana ukanda?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya Hon Dr. Magufuli ninayosahihisha mpaka muda huu

    Uchaguzi mkuu 0/95
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu visivyo na sifa kufutwa!

    Kweli tutumbue majibu nilifaulu kwa haki alafu anakuja mwingine hana sifa huwa naumia
  5. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu visivyo na sifa kufutwa!

    Tumbua jipu ndalichako hata bodi kuna jipu
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imekosa dira na mwelekeo

    ACT kuwa chama cha upinzani sahau ila labda waungane na magamba 2020 coz gamba linatoka likishatoka wataunda umojawao utaunganisha vyama vya ACT.CCM.ADC. ambapo 2025 zito atagombea ktk umoja wao na AMad rashid atakua mgombea mweza january nape na mwigulu watakuja UKAWA alafu nape atasafisha...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Zitto ‘nje’ PAC, Selasini atajwa kuchukua nafasi

    Sisi tunataka MTU atakayeweza kutumbua jipu kwa JPM manake JPM anapaswa atumbuliwe jipu kumbuka mzee wa tezi dume aliliacha jipu sugu la katiba mpya na JPM anafanya kama hajui na haliongelei na pia JPM na chama chake walihaidi M 50 kila kijiji leo hazipo wala hatuzisikii pia JPM alihahidi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid, Said Miraji wang'olewa ADC, Bodi yashika usukani

    Hakuna namna kuwa na wasaliti manake tumechoka sasa hakuna namna laana ya lowasa ina watafuna manake waligoma ktk kuleta mabadiliko
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kufilisika yamtanda Lowassa, adaiwa kushindwa kulipia kodi ya Pango PPF Tower

    Mbona hata wewe uliyetuma post hii umefilisika mawazo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kufilisika yamtanda Lowassa, adaiwa kushindwa kulipia kodi ya Pango PPF Tower

    Kwani yeye ndiye WA kwanza kufirisika
Back
Top Bottom