Kiukweli, nashauri wanapokuwa kozini ni vema wakafundishwa somo linahusiana na haki za binadamu na misingi yake very strongly
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli mburula, unamlinganisha Mungu na kazi za kijinga za kuvumbua kisu? Jiulize kwanza kati ya kuku na yai kipi kilitangulia kuwepo duniani ndipo ulete uharo wako hapa, no exisistance of God, ridiculous!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutumie vichwa kufikiri na sio sehemu nyingine za mwili. Katika hali ya kawaida ukiwa na mgonjwa zaidi ya mwezi mzima hospital basi ndo tuseme shughuli nyingine zote zitastop? Na hizo huduma za matibabu utazilipaje? By the way hata ukishinda na kulala hapo every day wewe ndio daktari? Don't be...
Hii ndo tabu ya kuchagua watu maskini kwenye nyadhifa kubwa, maana attitudes na mawazo yao ni ya kimaskini na kila anayeonekana tajiri basi mawazo yao ni kwamba kaiba. CCM tutawalaumu siku zote kwa kutuletea Bwana yule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.