Mama huyo mwanaume amesha kuwa Mariboro ya mavi isipo kunukia itakuelemea kuwa makini hakufai huyo toweka karibu nae anagonga nje huyo atakuletea maradhi bure. Mama'e hafai huyo.
Mi sioni sababu ya wewe kutaka kuachana nae mana km alikuwaga hajatulia ni zamani na sasa ni mke wako ganga yajayo kwani sh ngapi? Afu unataka mwanao aishi maisha ya baba wa kambo? 2liza akili.
Sasa na wewe kama sio mwaminifu why unataka mapenzi ya siri ungekuwa open hayo yasingetokea na unavyo fanya siri unampa nafasi ya kuchakachua kwingine sioni sababu ya kufanya siri km unampenda.
wapi wewe acha hzo unajifanya unaponda kumbe we mwenyewe ndo mshangaaji wa kwanza zama hizi tofauti na za mababu zetu so najua we mwenyewe ni wale wale mnaovaa kata ***** je nanyie hayo ****** yenu mnamtega nani? Km vp 2potezeane.
Dada ndoa sio ya kukurupukia usiwe na haraka kiasi hcho usipo angalia utaingia choo cha wazee tuliza akili, usichoke kuomba mungu You never know kakupangia kuolewa lini so hutakiwi kuwa na papara ndoa ni tamu na vile vile ni chungu usipokuwa makini. Kuwa makini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.