Nina TV (LG) imechora mstari mmoja katikati ya kioo cha TV (vertical line) na umekuwepo kwa takribani miaka miwili sasa. Haijawahi kupata ajali yoyote labda kuangushwa au kugongwa kwa namna yoyote.
Tatizo kama hilo nimeliona kwa jirani yangu pia, yeye anatumia SAMSUNG. Yeye imechora mistari...
Naombeni mwongozo tafadhali, nahitaji kununua PC na nimekutana na hizi mbili tofauti, kwa kuzingatia ubora wa kila eneo, nichukue ipi;-
1. Dell Latitude 3420
Core i5 11th Generation
HDD 1TB
RAM 8GB DDR4
Processor 2.40GHz
NON-TOUCHSCREEN
Price: Around 800K
2. HP ELITEBOOK 840 G5
Core i7 8th...
Nakushukuru sana Mkuu Chief-Mkwawa na wadau wengine wote kwa miongozo na ushauri wenu, hakika mnaufanya ukumbi huu kuwa kimbilio la wengi.
Nilifanikiwa kupata GALAXY TAB A7 (2020) 64GB.
Kwasasa shughuli zangu zinakwenda vzr kabisa.
Mwenyezi Mungu awabariki sana.
SM-G986U, hii ni version ya USA (Locked),
SM-G986U1 USA (UNLOCKED)
SM-G986N (KOREA)
SM-G986B (GLOBAL)
Mara nyingi hizi USA Version kama unataka kufanya updates na upo nje ya USA huwa inakubali kwa VPN kisha unachagua server ya USA.
Sasa kama kwako imekataa basi alternative inakuwa kufanya...
Mkuu,
Hii inaonekana ni version ambayo ipo Locked kwaajili ya USA.
Ambacho unaweza kujaribu kufanya ili kuona kama unaweza kupata updates ni;
1. Download VPN,
2. Chagua server ya USA,
3. Fanya update ya simu yako.
Kisha lete mrejesho hapa kama utakuwa umefanikiwa.
Ahsante!
Nashukuru sana Chief-Mkwawa , Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Kwenye hii option ya TAB A7 inaonekana hapa Bongo wengi wanazo zenye storage ya 32GB badala ya 64GB.
Labda kama kuna sehemu naweza kupata yenye 64 GB wadau naomba mnijuze tafadhali.
Habarini za Weekend Waungwana Wenzangu.
Naomba msaada wenu, ni aina gani na ni wapi naweza kupata TABLET kwa Shilingi Laki Saba hapa Bongo.
Sifa zake iwe ni;
Na nyinginezo zote muhimu.
Isiwe inatumia MEDIATEK.
Kama kwa sifa hizo na budget hiyo nitalazimika kuagiza kutoka ughaibuni, NAOMBA...
Sina kumbukumbu mzuri sana na settings za Redmi tangu nimeacha kutumia simu yangu ya Redmi note 8.
Ila kwenye settings kuna sehemu ambayo unaweza ku change Location/Country as default. kwa vyovyote utakuta wameiset India kama ndo default kwa simu yako, badilisha hiyo, weka Tanzania au Kenya kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.