Naomba kujuzwa Tablet bora kwa bajeti ya laki saba (tsh.700k/=)

Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
266
109
Habarini za Weekend Waungwana Wenzangu.

Naomba msaada wenu, ni aina gani na ni wapi naweza kupata TABLET kwa Shilingi Laki Saba hapa Bongo.

Sifa zake iwe ni;
Mpya
ANDROID
RAM kuanzia 4 GB
ROM kuanzia 64 GB
DISPLAY 9" - 11"
Inatumia SIMCARD (LTE/5G)
Latest Android versions
Na nyinginezo zote muhimu.

Isiwe inatumia MEDIATEK.

Kama kwa sifa hizo na budget hiyo nitalazimika kuagiza kutoka ughaibuni, NAOMBA MWONGOZO PIA.

Ahsanteni sana.

CC: Chief-Mkwawa
 
Mkuu kwa Hapa Tz uongo utapata tu michina ya kutosha na ukipata bei zake most of time sio reasonable.

Kwa tight budget Around $300 all around Tab s6 lite ya Samsung ni nzuri zaidi, ina Android 11 na inapata android 12 One ui 4 ambayo kwa Tablet Haina Mpinzani. Ram na storage ya kutosha, 4g etc. Ina tick hizo requirements zako, upatikanaji wake ni Hadi Usa ambayo inataka uzoefu kidogo kuileta.

Alternative ya Samsung kwenye Tablets ni Lenovo nao pia wanajitahidi na software yao imekuwa matured kiasi fulani, Tablet kama P11 unaweza kuipata Aliexpress ni Nzuri kwa kuanzia pia

Pia kwa Samsung ipo Tab A7 10.4 2020 version nayo ni Nzuri, Haina kalamu kama s6 lite, ila bei yake ni nafuu kiasi around laki 5 ama sometime chini ya hapo,
 
Nashukuru sana Chief-Mkwawa , Mwenyezi Mungu akubariki sana.

Kwenye hii option ya TAB A7 inaonekana hapa Bongo wengi wanazo zenye storage ya 32GB badala ya 64GB.
Labda kama kuna sehemu naweza kupata yenye 64 GB wadau naomba mnijuze tafadhali.
 
Bila kusahau ni A7 10.4 inch 2020 version. Kuna A7 lite ambayo sio nzuri na bei hazitofautiani sana.
 
Nakushukuru sana Mkuu Chief-Mkwawa na wadau wengine wote kwa miongozo na ushauri wenu, hakika mnaufanya ukumbi huu kuwa kimbilio la wengi.

Nilifanikiwa kupata GALAXY TAB A7 (2020) 64GB.
Kwasasa shughuli zangu zinakwenda vzr kabisa.

Mwenyezi Mungu awabariki sana.
 
Tupo pamoja kiongozi, karibu tena

Back
Top Bottom