Kuna vitu vimenitokea ambavyo sikupata ushirikiano wa kutosha toka kwa watu wa karibu,hivyo nahitaji kujua sifa za rafiki wa kweli? Mana nahitaji nifanye uamuzi mgumu wa mchujo wa marafiki wanafiki,kabla sija hukumu nahitaji sifa za rafiki wa kweli nizipi?
Kero yangu ni kuhusu kutokuonwa umuhimu wa barabara zifuatazo: Barabara ya kutoka VETA mpaka Tandika,VETA mpaka taifa kweli serikali yangu hamuoni kuzidiwa kwa barabara hii sasa inabeba magari mengi mno watu wanapoteza muda kwa foleni jiji linakosa pesa.
Barabara ya Bandarini kupitia BP mpaka...
hawa watu wenye asili ya kihindi wanapenda sana rushwa,ukitazama kashfa nyingi nchi muhindi lazima atakuwepo,tender opening za taasisi mbalimbali wahindi wanatoa sana rushwa tena sana,mnasaidia kuwapa ajira vijana wetu lakini mnanuka rushwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.