Recent content by Naiman Nnko

  1. Naiman Nnko

    JamiiForums Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

    Hata kama wewe ni wa chama chakavu lakini kwa hili andiko nakupa big yes
  2. Naiman Nnko

    JamiiForums Urusi hali mbaya sasa kununua vyakula supermarket unapangiwa kiasi baada ya mfumuko wa bei na kupelekea kudorora kwa sarafu ya rubble

    Kwani wewe si una mahaba na urusi? Kama za mwenzako ni propaganda na za kwako pia zitakuwa propaganda
  3. Naiman Nnko

    JamiiForums Je, ikiwa Mrusi na Mchina wakiungana kijeshi kutaka kum-maliza Mmarekani kivita itachukuwa muda gani?

    Huyu hawezi kukuelewa kutokana na ushabiki wake kwa urusi na china
  4. Naiman Nnko

    JamiiForums Pole sana mtani, ila iga busara za Uamsho walipoachiwa huru

    Siyo lazima kuiga kila msemo. Akili si nywele na kama ingekuwa hivyo mbona wewe una nywele nyingi tu lakini hauna akili?
  5. Naiman Nnko

    JamiiForums Urusi: Padri mbaroni kwa kuhubiri amani

    Wajinga sana, unakuta mtu anataka demokrasia Tanzania lakini anashabikia Russia
  6. Naiman Nnko

    JamiiForums Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

    Wewe si ni mfuasi sugu wa Gwaji boye? Sasa unahangaika nini na wapinzani.
  7. Naiman Nnko

    JamiiForums Rasmi CHADEMA ndio chama chenye msimamo sana

    Mungu ameshinda kupitia Chadema
Back
Top Bottom