Ntamchagua lowasa, cz ndie mgombea wa ukawa(umoja wa katiba ya wananchi) na me naitaji katiba iliyopendekezwa na sio katiba inayotakiwa na mafisadi wachache
Nawaona mnavyoufukuza upepo bila kuuona wala kuukamata Lowasa kuingia ikulu kwa kura za wanachi hilo msahahu kwasababu wananchi sasa hv wameamka washajua kwanza fisadi pili mgonjwa
Humu jf basi patakuwa na malaika,afu wote wahamiaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.