Neno ndoa linamaanisha ni watu wawili walioamua kuishi pamoja wakiwa mume na mke kwa muda wote wa maisha yao. Ukisema ndoa ya mkataba hiyo siyo ndoa ila mkataba wa kuishi pamoja kwa muda mliopanga. Kwa wakristo na waislam wanaamini kuwa ndoa ya kwanza ilifungwa na Mungu mwenyewe kwenye bustani...
Yesu alisema siku yaja ambayo hamtamuabudu Mungu katika mlima ule au Jerusalem bali waabudu wa kweli watamwabudu Mungu katika roho. Hii inamaana gani? Mwanadamu ni hekalu la Mungu, hivyo IBADA inafanyika muda wowote na popote siku yoyote, Je sabato ilianza lini? Ilianza siku Mungu sana na...
Kwanza kabisa nahutaji kujua huyu jamaa alikuwa ni siku ya kwanza kuwa na mke? Tusiangalie upande MMOJA wote wanahusika kujitunza kabla ya ndoa. Jambo lingine ni bikra siyo sababu ya kufanya ndoa idumu,kinachotakiwa ni UPENDO wa dhati kati ya wawili. Kumbuka kwa wake wakristo kuna Nabii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.