Recent content by Nahori

  1. N

    JamiiForums Tanzania Serikali msisahau kuboresha hospitali zetu(vifaa, wataalam na dawa)- hali ni mbaya

    Ni kweli kabisa,tatizo hakuna upendo wa dhat kat ya viongoz na waongozwa.Ubinafsi umezid sana.Pili,hofu ya Mungu haipo,tunakula fedha mahususi zilizotengwa kwa ajili ya maendeleo,unategemea nini?.Hii hali haiwez kuisha mpaka mguso binafsi utokee,Eeeh Mungu,saidia viongoz wetu kujitambua,ili...
  2. N

    JamiiForums Tanzania List ya wanawake kumi wanaoshika vyeo vikubwa bongo

    WanaweZa,tena sana.Kila kiumbe alipewa baraka kwa nafasi yake.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kufanya masters, phd ni uoga wa maisha.

    Soma,tena soma sana.Ukimaliza tengeneza ajira na sio kutafuta ajira,hapo utakuwa umeelimika.Dunia ya sasa,wabunifu ndio wanaoifaidi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Duka Mwanza ni mzigo

    Hata mm nilitaka kufungua duka,lakin kama mchezo ndio huu,ngoja niwazue tena.
Back
Top Bottom