Recent content by nagano81

  1. nagano81

    Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

    Kwani hiyo nyumba ipo kwenye jina la mwanaume au huyo mwanamke mwingine?
  2. nagano81

    Hivi JF kuna wife material kweli?

    Sikubaliani na kauli ya kusema kwamba wasichana wa jf hakuna wife material.humu watu wanajiachia coz they are anonymous and they are trying to release stress.lakini wengi wao humu hawafanyi au hawapractise wanachoongea jf.mfano mzuri ni the so called MISS CHAGA!the way she comments in jf is...
  3. nagano81

    Nashindwa kuelewa wat do women really want from men when in a relationship?

    Asante kwa ushauri deeboyfrexh.niataendeleza uchunguzi yakinifu.there must be something fishy
  4. nagano81

    Nashindwa kuelewa wat do women really want from men when in a relationship?

    Nimekosoma mkuu!! Yani ananiambia eti next time nikifanya hivyo tena ni bora tuachane!ha ha ha ha
  5. nagano81

    Nashindwa kuelewa wat do women really want from men when in a relationship?

    Miaka mitatu iliyopita nilikuwa kwenye relationship na msichana mmoja X,ambaye yeye alikuwa akiniaga anaenda sehem na rafiki zake basi mimi kutokana kutokana na mwenendo wake nilikuwa nikimwamini hivyo basi akiniambia yupo sehem na rafiki zake basi nilikuwa sioni umuhimu WA kumsumbua kwa...
Back
Top Bottom