Kupata dawa ya kuponyesha kisukari kama waganga kienyeji wanavyo dai,ni Sawa na kuamini kuwa mguu au mkono uliolemaa unatibiwa na ulemavu kutoka,Jambo ambalo haliwezekani.kongosho likilemaa,kazi ya kuzalisha insulin inapungua ama inaisha,huwezi kuponyesha.Lakini matapeli wanaendelea kusumbua watu
Lisu Yuko makini na anajua anchokifanya.Na pia usimwone anajitetea pale ukadhani Yuko peke Yake.Ni lazima ana wanasheria nguli nyuma Yake wanaomsaidia katika moja na mbili.Hii ni kesi itakayoonesha mahakama kama ni muhimili au ni sehemu ya muhimili
Hii haijakaa Sawa kwa elimu yetu Tanzania.Inakuweje shule zimefunga kwa mujibu wa ratiba na Sera ya elimu lakini wanafunzi kila siku wapo shule?
Kama hawakuwaelewa walimu siku zote walipokuwepo shuleni,kitu gani cha ziada kitafanya waelewe ndani ya huu mwezi wa likizo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.