Kwa uelewa wangu mm kula kimasihara ni kula tunda katika hali usiyoitegemea wala kufikiria haijalishi huyo mtu anafanya kaz gan sikuwa na hisia nae wala wazo la kumla imetokea why nisiseme nimekula kimasihara
Sent from my SM-G977N using JamiiForums mobile app
Nimesoma mabaharia wenzangu naona na mm ngj niwakilishe muswada wangu
2020 katikati ya mwaka kuna saloon flan maeneo ya kino ndio nalikua napenda kunyoaga, sasa kuna siku nimeenda kunyoa fresh nikamaliza nikaenda chumba cha kuoshwa kunakuwaga na wale wadada so mmoja wapo akawa ananiosha fresh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.