Recent content by Nafsi huru

  1. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa usafiri kwenda Moshi from Dar. Jumamosi jioni

    Habari wakuu naomba kuuliza hivi kunakuwa na gari za kwenda Moshi kutokwa Dar, Jumamosi jioni naweza pata.
  2. Nafsi huru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

    You might think this is a good sign, but I tell you what you have mentioned there is a descending list of cities with highest life inequalities.
  3. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Kiranga kashindwa kututhibitishia kama kweli Mungu hayupo?

    Kwann ww unaesema yupo ndio usilete uthibitisho mfano mm nikisema kwenye kwapa langu kuna dhahabu ww ukakataa na kusema hamna, ni Nani Kati yetu ana wajibu wa kuthibitisha Kati ya mm nnayesema zipo au ww unaesema hamna?.
  4. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kupoteza nguvu ya Macho

    Shida ya mleta mada inaitwa Presbyopia kwa kitaalamu, ni kwamba binadamu tuna lensi ndani ya jicho ambayo kazi yake ni kufocus image ya kitu katika umbali tofauti sasa jinsi umri unavyokwenda lensi hupoteza uwezo wake kwasababu inakakamaa na hvyo mtu hushindwa kufocus image za karibu hasa fine...
  5. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kupoteza nguvu ya Macho

    Ushauri mzuri
  6. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kupoteza nguvu ya Macho

    Nilikuwa na uwezo kujibu swali lako kwasababu nimekaa darasani miaka 10 kusoma jicho ila kwa bahati mbaya huhitaji majibu ya hospitali ok all the best katika safari yako ya kufunga na kusafisha macho na mkojo😂
  7. Nafsi huru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Bima ya Afya kwa wanafunzi wa shule za sekondari za Serikali/Umma yazinduliwa

    Good move
  8. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Watoto huanza kuona baada ya muda gani tangu kuzaliwa

    Sio kweli kwamba ni hatari hvyo ndivyo tunavyopima uwezo wa mtoto kuona hata hospitali.
  9. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Watoto huanza kuona baada ya muda gani tangu kuzaliwa

    Hutaki Hongera sana mheshimiwa kwa kufuatilia afya ya wanao kwa ukaribu na umakini ni wachache sana hufanya hivyo. Turudi kwenye mada kujua kama mtoto wako afya yake ya macho iko vizuri chukua tochi hata ya simu mwanga uwe unaonekana vzuri then mmulike usoni anza kupeleka tochi uelekeo tofauti...
  10. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Je, ni jambo gani lililowahi kukutokea maishani na ukaamini Mungu yupo na anaishi kwa hakika?(Mimi lipo!)

    Nipo katka hali ya kawaida kabisa ila mm siamini.
  11. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Je, ni jambo gani lililowahi kukutokea maishani na ukaamini Mungu yupo na anaishi kwa hakika?(Mimi lipo!)

    Duh labda siku moja na mimi nitaamini tena.
  12. Nafsi huru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Beauty is in the eyes of the beholder, Kila mtu afanye analoona linamfaa yeye.
  13. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la kutokuona kila ifikapo jioni

    Hyo ni allergic conjuctivis, mwone mtaalamu wa macho upate dawa.
  14. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la kutokuona kila ifikapo jioni

    Huwa yanawasha?
  15. Nafsi huru

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la kutokuona kila ifikapo jioni

    Mpeleke CCBRT,huenda ana rod dystrophy ambayo hupelekea rods(husaidia kuona gizani) kuisha hivyo mtu kutoona vzuri usiku. Lkn pia kama night blindness inayosababishwa na ukosefu wa vitamin A mtapata majibu. Kila la heri.
Back
Top Bottom