Recent content by nadiegirlie

  1. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Ule upendo wa kweli bado upo?

    Mioyo imevunjwa mno mtu anajaribu kupenda ila ndio hivyo anakutana na mishale mwisho wa siku mnaenda ilimradi msogezane tu
  2. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuomba na kutegemea pesa za mwanaume ni ishara ya umasikini au wajibu wa wanaume?

    Sio wajibu wako wala sio umaskini kwake ila inapendeza kote😁😁😁
  3. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

    Hii mada haiishi tu humu jamani 😁😁😁tunaiona wakati tuna bikra mpaka sasa hatuna bado ipo tu kheeeee
  4. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Je, mwanaume ulishawahi kugeuzwa mchepuko na ukachukulia poa?

    Hauna kinyaa looh
  5. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Nina mwanamke mwenye maneno makali sana. Nishaurini, naona amevuka mipaka

    Kumbe bakra nao wana maneno makali😁😁😁nikajua huwa ni perfect Kwa kila kitu
  6. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    🤣🤣🤣🤣ndio maana nimesema endelea kucondomize(kuvaa condom)sababu watu ni wagonjwa huko nje mkuu
  7. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Swali ni kama kusingekuwa na madhara(obviously negative)kitu gani unatamani kukifanya ila huwezi sababu ya KUOGOPA hayo madhara
  8. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Endelea tu kucondomize watu ni wagonjwa sana mkuu
  9. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Wengi wakorofi hapa ungesema tu😂😂😂
  10. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Mpaka sasa imefikia wapi? Out of curiosity tu forgive me if I've crossed unvisible lines
  11. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Mpaka sasa imefikia wapi?
  12. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    🤣🤣🤣upo kwenye dunia ya peke yako mkuu
  13. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Ndio kumtegemea mtu for your survival kwanza ni utumwa kwa kweli
  14. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    What is your point mkuu najua hamna lisilokuwa na madhara ndio maana ninetumia maneno kama kusingekuwa na madhara
  15. nadiegirlie

    JamiiForums Tanzania Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Kuna kile kitu unatamani kukifanya ila unaogopa matokeo baada ya kitendo,ni kitu gani hicho?
Back
Top Bottom