Recent content by nabydeco

  1. N

    JamiiForums Tanzania OR-Utumishi itatuuguza afya ya akili wasubiri matokeo ya ajira

    Mi nadhan kama mtu kafeli waweke wazi sio selected for oral unakuwa na matumaini hewa kila siku.
  2. N

    JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    Shida sio umri wa kustaafu mi nadhani shida ni kibunda hakipo, mfano anangalia idadi ya wanaokufa na kustaafu kisha linganisha na ajira zinazo tangazwa kila siku.
  3. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Walimu watakiwa kuhudhuria mafunzo ya mtaala mpya kwa siku 2 kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku!

    Ndo mtaala ukatekelezwe na watu waliojaa stress za MAISHA.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je, tatizo la Stroke linaweza kupona?

    Wanapona ila kweny kuongea hatoongea kama zamani atakuwa kama anakigugumizi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Akuna ugumu shida roho mbaya watu wengi wanapenda watu wasote kama wao walivyosoma Kwa kuungaunga
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Eeh nenda karipoti halmashauri utawakuta Ndo mabosi hao kabla ya mkurugenzi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inawezekana kama ukikutana na mkuu wa idara na afisa utumishi wazungu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aitelmoney mbona imepotea paripesa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kulikoni ajira za ualimu 2024?

    Intaview nyingi zinafanyika kwenye shule kongwe
  10. N

    JamiiForums Tanzania Aliyeninyima Connection jana kaja kuniomba msaada

    Safi mkuu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tabiri Top 4 ya EPL kuelekea Msimu mpya wa 2024/25

    Arsenal bingwa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu waliosoma shule binafsi yani private ni waliofeli

    Shida sio kuajiri unawalipa nini Ili nawao wafurahie maisha!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mafunzo ya uhudumu afya ngazi ya jamii (mchanganuo wa gharama za mafunzo)

    Nenda kada ya afya Ina michongo kiasi chake kuliko uo ualimu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la interveiw kwa kada ya afya naipongeza serikali iwe hivyo pia kwa kada ya elimu

    Shida sio mitihani au uwezo wa ufaulu ila waweke maslahi mazuri Ili hao wenye uwezo wajivunie kuzalisha vitu vilivyo bora
Back
Top Bottom