Recent content by nabiitz

  1. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    u uamuzi wako usiwe wa kuwaambukiza wengine
  2. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    tukisema liwalo na liwe huoni kua ni shida . Serikal baadae itakuja kulaumiwa kwa kutoweka mkazo katika chanjo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    hapo chini umemalizia kwa makasiliko
  4. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    hiari ya wengi ni nzuri
  5. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    ni mbaya sana jambo la afya limemezwa sana na siasa awamu ya sita ina kazi sana kubwa tatizo inajiona ni serikal ya mpito labda ndio shida
  6. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    afya haijaribiwi tusiache tukapoteza ndugu zetu wengi ndio tukumbuke chanjo bado elimu juu ya chanjo ni ndogo mno kwa wananch.mwenda zake yupo mioyoni mwa wengi ili nalo ni tatizo lazima iwepo namna mpya wananchi watambue uviko 19 upo na ni hatari
  7. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    ili nalo ni tatizo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    hawa viongozi ndio walipaswa wabakie na msima ule ili mama aone hana umuhimu wa kwenda na wangine ambao wangekua na sababu za msingi juu ya huu ugonjwa mpaka sasa hakuna anae waamini
  9. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    fuatilia page za rafiki zake uko insta kwa page ya kingi wa mitandao ya kijamii kila siku ana habari lakin bado kua udambwi anaukosa habar zinaishi kwa marafiki zake
  10. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    ni bora hayo mashaka yawepo lakin si kwa ambacho kinaendelea sasa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    y yule angeweza hata ww ungeenda kuchoma mbona uliwah kwenda pale lidaz kumsikiliza namna ya kupata ajira
  12. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    kweli kabisa shida ipo hata haihitaji akil kabisa kuwatambua na kuwaamini hawa viongozi wa afya wote walio wahi kua na mlengo ule bas wakae pembeni waje uwapya hapo kidogo tunaweza waamini wanasema wanasiasa sio wa kuwaamini lakin hapa naona sio siasa ni taaluma nimr na wizara ziwe mpya watakua...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    shida ilianzia hapa noana haikua zambi tulivuka salama lakini huyu hakupaswa kugeuka yale mama weke mwengine kaz iendelee
  14. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    hahahah afya muhim lakin kuliko izo tozo
  15. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

    uka chanje kwa hiari
Back
Top Bottom