Recent content by nabiidaniel

  1. N

    Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Watu wanazitetea benki kwa sababu hayajawakuta, lakini mtu akifariki wafanyakazi wa benki ni wezi, wakigundua mtu kafa, wao ndio wakwanza kukutaarifu kuwa fedha zimesharudishwa BOT, uongo mtupu
  2. N

    Unabii mzito kwa nchi

    Tuna changamoto ya manabii, nashauri kikao cha manabii wote tuitwe, upembuzi ufanyike, nabii mwongo afungiwe kabla ya kanisa zima kutukanwa. Mtu kalewa pombe anasema Dar itaangamizwa kwa mafuriko, hayajatokea anaangaliwa tu, Mara sijui mwezi flani kutakuwa na tukio kubwa, miezi inapita na yeye...
  3. N

    Hope is fading away

    Ukweli mchungu, it's sad. Lakini miezi mitatu iliyopita nani alitegemea mtu Kama polepole ataibuka na kushangaza watu. Bado Mungu anaweza kutushangaza zaidi, utukufu una yeye hata milele na milele Kimsingi heshima yao imeshuka kuliko alivyoishusha Lissu
  4. N

    GE2025 Hashim Rungwe: Sisi CHAUMMA kuna watu wanatupa hela kufanya yote haya, kuna siku nitawataja

    Wahuni sio watu, atakuwa alilewa, siku akikutana RA atamwambia, " usiwe na wasiwasi sikutaji"!!
  5. N

    Tetesi: Huyu nae ni miongoni mwa kundi la wanamtandao hatari

    Ile sura akujia usiku kukuchoma sindano betri inazima bila kizimio
  6. N

    Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

    "Kwa kuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika" Kwa hio ni mtu bwege tu ndie atayakaye panga foleni
  7. N

    Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

    Utiki usitiki pameshatikiwa
  8. N

    Kwenye vituo vya kupigia kura Kuna mawakala wa vyama vya siasa vyote kura zinahesabiwa kwa uwazi Je! Hizo NIDA zinatoka wapi? hojini Kama wasomi basi

    Nimekumbuka yule aliyeropoka kuwa waliojiandikisha kupiga kura wapo millioni thelathini!! Watu wakasema heee!! Kumbeeee!!!
  9. N

    Mhuni kakutana na gangwe

    Tafsiri ya Gangwe ni mbabe
  10. N

    Nidhamu ya uoga, unafiki na kujipendekeza ndivyo haswa vinamtesa Hamphrey Polepole kisaikolojia na moyoni akiwa mafichoni

    Anajipendekeza kwa kujiuzuru ubalozi, kuinanga serikali hadharani, kutaja mifumo ya wizi wa kura, kutaja wafadhiri wa mitandao ya ufisadi. Nakiri neno "kujipendekeza" sijui maana yake
  11. N

    Tetesi: Kanisa la Gwajima kufunguliwa hivi karibuni

    Psychological relief, watu wanaaminishwa uongo ili watulie
  12. N

    Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

    Maumivu ya kichwa huanza polepole, tutaelewana tu
  13. N

    GE2025 Baada ya Humphrey Polepole kushindwa sasa amerudi Askofu Gwajima na yeye atashindwa

    Labda huenda ile ilikuwa ni phase one, sasa phase two huenda ndio hio itakayoanza siku 10 zijazo na Gwajiboy, halafu zitamaliziwa na slowslow, movies must be magic
Back
Top Bottom