ILI NCHI IENDELEE, INAHITAJI MAPATO. Pato la taifa linachangiwa na vyanzo kama vile viwanda, kilimo, madini, uvuvi, usafirishaji, utalii, kodi, ushuru, na tozo mbalimbali. Kwa Sasa hebu yuzungumzie hizo tozo. Tangu kale Hapa Tanzania na nchi nyingine kumekuwa na Sheria ya ulipaji kodi, tozo na...