SoC02 Niliolewa Bikira ingawa nilianza kuuza Bar tangu nikiwa na miaka 14

Stories of Change - 2022 Competition

mkure2020

Member
Sep 7, 2022
9
19
Mwanangu hakuna kingine ambacho unaweza jivunia au kukupa heshima kwa mumeo zaidi ya kumtumzia usichana wako (ubikira) maana kama ni elimu huna ya kutosha na hali duni ya maisha ya sisi wazazi wako faraja pekee ya sisi wazazi wako ni wewe kutupa heshima maana tumekuzaa na kukulea katika maadili mazuri ingawa kweli kuna baadhi ya mahitaji sasa tunashindwa kukupatia, nenda mjini kapambane ila kamwe usiuze utu wako kwa vipande vya fedha na maisha yakiwa magumu kamwe usisite kurudi nyumbani bado tunakupenda, yalikua maneno makali ya mama wakati ananiaga kuja mjini kupambana na maisha baada ya kumaliza elimu ya darasa la saba na kushindwa kupata nafasi ya kuendelea na masomo kwa ufaulu mdogo na ugumu wa maisha.

Baba na Mama walinisindikiza mpaka stand kupanda gari kuelekea jijini dar es salaam kwa shangazi huku wakiniaga kwa majonzi makubwa huku wakinipa nasaha nyingi za kua makini mjini na kutokua na tamaa huku nikikumbuka wananitegemea na kuniombea nifanikiwe. Baba yeye hakua na meneno mengi sana zaidi ya kukusisitiza nifanyie kazi maneno ya mama.

Nilifanikiwa kufika jijini dar es salaam kwa shangazi na kuanza mapambano ya maisha na kazi ya kwanza kabisa ilikua ya usaidizi wa ndani kwa huyu shangazi yangu ambaye alikua na familia ya watoto watatu na mume wake.

Maisha ya kazi za ndani ukweli yalikua magumu maana mengi ya mjini sikua nayajua hivyo nilipewa msaada na shangazi mwishowe nikawa mzoefu wa usafi na upishi mambo ambayo ndo yalikua muhimu katika kazi yangu na kama mwanamke. Maana nilikua kila siku wa kwanza kuamka wa mwisho kulala katika myumba na hata katika kupika unapika lakini unakua wa mwisho kula au wakati mwingine ukose ulale njaa ndio maisha ya wafanyakazi wa ndani wengi nchini.

Dharau na manyanyaso toka kwa shangazi na baadhi ya watoto wake yalinifanya nifikirie kurudi kijijini kwa wazazi wangu kwani nilivumilia mateso na karaha nyingi kiasi ambacho nilishindwa na nikamweleza shangazi nahitaji mishahara yangu nirudi nyumbani jambo ambalo alikua mkali na akitaka kujua kwanini naacha kazi huku akijua itakua aibu kwa ndugu zake hususani kaka yake ambaye ni baba yangu. Kipindi hicho mawasiliano ya simu yalikua magumu sana maana mtandao haukua umefika kikijini kwetu na hata wazazi hawakua na simu hivyo nilishindwa kuwaeleza yote nayopitia. Shangazi aligoma kunilipa pesa akikisitiza niendelee na kazi. Hapo ndipo ilikua mwanzo wa kupata wazo la kutafuta kazi sehemu nyingine maana ndoto za kufanya kazi kwa shangazi na kupata pesa ya kujifunza cherehani ilikufa na nilifanikiwa kupata kazi kwenye bar moja maarufu ubungo.

Nilianza majukumu mapya na maisha mapya ya uuzaji wa pombe ambayo sijawahi ata kufikiria kama ningekuja kuyafanya maana ni kazi yenye sifa mbaaya kwa muuzaji kwani ata mavazi ambayo boss alitaka tuvae yaliondoa utu kabisa ila nilijipa moyo nkijua ndoto zangu ni kupambana na kuwasaidia wazazi wangu kijijini ila muhimu ni kijitaidi kutumiza maneno ya mama.

Kazi ya bale bar ilinifanya nipendwe sanaa na wateja na baadhi kunichukia na kuniona mshamba kwani sikupenda mazungumzo nje ya kazi au kushikwa ovyo na wanaume wakwere ingawa kwa kazi ile ujira ulikua mdogo na wahudumu wengi walikua wakitegemea pesa za ziada toka kwa wateja kwa kuwaomba au kupewa kawa zawadi ila kwangu nilijitaidi kukwepa maana nyingi zilikua za mtego.

Ugumu wa kazi ile ulikua tuu kukwepa vishawishi toka kwa wateja kwani wengi huja bar sio kwa huduma ile tuu pia hua na mengine kichwani hivyo wengi walinitaka kimapenzi kwa kunishawishi kistaarabu au kutumia nguvu ya pesa akijua kabisa hali za wahudumu wengi ni duni au tabia zao ni kutaka pesa toka kwao. Kwangu ilikua tofauti kwani nilikua na malengo yangu na maadili yangu ingawa ukweli wengi walinisifu kwa uzuri ambao nilikua nimejaliwa.

Niliendelea kupambana na changamoto za maisha ya kazi huku umri nao ukisogea ila ukweli nilikua nakwenda kuwasalimu wazazi kikijijini na niliwaweka wazi sipo tena kwa shangazi ingawa sikuwaeleza manyanyaso na dhuluma shangazi ila niliwaficha kazi nayofanya kuhofia kuwapa uoga wazazi wangu maana kazi ya bar haikua na sifa nzuri na ingewaumiza niliwadanganya nafaanya kazi kiwanda cha nguo.

Katika majukumu yangu na maisha nilikua nkivutiwa na wanaume wengi na wengi walinitaka ila ukweli sikupenda kutumika tuu kingono kwani nilitamani kumpata mwanaume wa maisha na ahadi yangu na mama ilibaki kichwani kutunza usichana wangu jambo ambalo lilikimbiza wanaume wengi nilipogomea kufanya mapenzi mpka ndoa maana jibu langu kwao ilikua ni wazi na ukweli nilikwepa pesa na zawadi za wahuni hivyo wengi waliheshimu maneno yangu ingawa wengi walitoa maneno machafu wakiamini sikua bikra na wakichashangaa mhudumu wa bar ana msimamo huo kwani ata boss wa bar alikua akinitaka kimapenzi mara nyingi ila nlimweleza msimamo wangu na mwisho alichoka kunisumbua.

Kazi ya bar ilinifanya nijuane na wanaume wengi ila kwa bahati mbaaya wengi walikua wahuni au waume za watu hivyo msimamo wangu uliwakimbiza wengi ila kupitia kipato kile nlkua tayari kimeniwezesha kupangisha chumba changu na mtaji kidogo hivyo niliaamua kuacha kazi ile na kuingia kwenye biashara ya samaki.

Nilifanya biashara ya samaki kwa nguvu na moyo mkubwa maana ndio tegemeo pekee nlilokua nategemea maana sikua na elimu wala ujuzi mwingine na ukweli Mungu alinifanikisha nikawa maarufu kwa biashara ya samaki na kupata kipato kizuri hakika ilikua faraja kubwa kwangu kwani niliweza kuwasaidia wazazi wangu kuwaboreshea makazi na matunzo mengine hakika wazazi wangu walinipenda na walijivunia sana mtoto wao nilivyowajali wao na wadogo zangu.

Tofauti na kua bikra nilikua na sifa nyingi ambazo zilikua zinawavuta wanaume kutamani kua na mimi ila ukweli sifa ya ubikira iliwafurahisha wanaume wengi na kuvutiwa kua na mimi wakiamini watapata kweli mwanamke mwema mwenye sifa hii muhimu kwa mwanamke hivyo wote walioonyesha kutaka kunioa niliwaeleza wazi malengo yangu na akiwa tayari afuate taratibu za wazazi huku nikiwa mgumu kukubali tendo la ndoa kabla ya ndoa.

Mungu alinijalia nikapata mchunba na alifika kijijini kwa wazazi na kufuata taratibu zote za kimila na wazazi kupokea mahari tayari mimi kuolewa na mchumba wangu ambaye alinipenda kweli na kunishemu kwa kipindi chote cha uchumba. Ilikua furaha kubwa kwa wazazi wangu na hakika niliwapa heshima kubwa na mimi nilipata heshima kubwa toka kwa mume wangu kwani hakua akiamini kama kwa umri ule na mapito yangu magumu niliweza kujitunza mpka ndoa.

Hitimisho;

Ubikira ni sifa kubwa ya msichana ambayo kwa sasa imekua adimu na haisifiwi tena wala kupewa kipombele kwa watoto wetu kwani wengi hujiingiza katika mapenzi wakiwa na umri mdogo na kupoteza sifa hii inayokupa sifa kubwa kwa mume wako hivyo wengi wakijikuta katika matatizo mengi ya maradhi na mimba za utotoni. Wazazi waelezeni watoto wenu umuhimu wa kujitunza na wasichana jivunie usichana wako na usikubali utoke kwa chipsi na soda kwani thamani yake ni kubwa kwa mwanaume mwenye kujali na humuondoa hofu mchumba wako kwenye tabia ako maana kupata mume kwa maisha ya sasa ni bahati na akili nyingi ila mwanaume akijua wewe ni bikra achomoki atakupenda, kukujali na kukuhudumia akiwa ana faraja na kutamani kua mwanaume wa kwanza kwako ila lazima uwe pia na sifa nyingine za kike kama usafi, utii, uwajibikaji na nyingine nyingi ila sifa kuu iwe ubikira.

Ndoa pasipo mechi za mazoezi inawezekana katika ndoa ingawa ni ngumu lakini lazima kujitaidi maana inawezekana na ina faida kuliko hasara.

Ahsanteni.
 
Hee! Hongera mwaya...nasali isije kuwa ni fiction.. Ila ujumbe umefika na kura nimekupa..tafadhali naombo usome na andiko language pia..ikikupendeza unipigie kura..andiko hili ni: SoC 2022 - Acheni kutusimanga sisi wasomi wa Tanzania
 
Kwa hiyo Ujumbe... Tusichague kazi?
hata kama tukichanganya kazi kwa maana ya kufanya kazi mbili halali sawa, ila kutumia mapenzi kama sehemu ya kipato mbaya saana maana heshima ya mwanamke huja kwa kua na malengo na msimamo hasa kuhusu utu na afya njema, hakika usichanganye kazi na mapenz
 
Hongera sana
 
Baada ya ndoa ulienda kusoma?

Kama jibu ni ndiyo, ulisomea Nini?
 
Hapana, sikuweza kuendelea na masomo katika mfumo rasmi kwani elimu yangu ya darasa la saba ilikua kikwazo kupata chuo cha kusomea taalam nzuri maana sehem nyingi walihitaji kidato cha nne na kuendelea ila kupitia mume wangu alishauri zaid mradi utakao nifanya niwe nyumban zaid, nafuga kuku pia nina greenhouse nyumbani, ila imekua faida kua karib na familia zaidi ingawa kipato sio kikubwa,
 
Back
Top Bottom