Recent content by nabbingo

  1. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwaka, tunaomba majibu hapa tafadhali

    Ujumbe umefika
  2. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Nani kamuuzia Manji ufukwe wa Coco?

    Diwaniiii..............tumesahau matrekta ya kuzolea taka aliyowauzia Manispaa ya Kinondoni?
  3. nabbingo

    JamiiForums Tanzania TFDA be proffesional. Mtachomaje kemikali wazi namna hii?

    Mdau katika nchi ambayo watu wananunua vyeti hicho ni kitu cha kawaida
  4. nabbingo

    JamiiForums Tanzania MwanaHalisi: Kikwete akomba hazina! Fedha zilizopo hazitoshi kuendesha serikali hata siku 20

    Kweli Hazina Inatakuwa Empty
  5. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo jaribu kuchambua vitu kwa usahihi

    Kitilla alisha-jitoa FUSE muda mrefu
  6. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Ndugu aua mdogo wake baada ya kumkuta akijamiana na nguruwe

    Pamoja na hayo yaliyotokea ni kwamba katika masuala ya afya ya akili inawezekana Marehemu alikuwa na SEX ADDICTION, ambayo ni maradhi na yanatibika so alihitaji huduma ya ushauri nasaha na fasaha jinsi ya kukabiliana na issue hiyo na si kumpiga na mwisho wake ndo huo MAUTI...RIP KIJANA
  7. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Inaweza ikiwa ni vigumu kwa wewe kukubali kuwa umekuwa na utegemezi wa uvutaji wa sigara (addict) kutokana na sumu ya nicotine iliyomo ndani ya tumbaku ambayo husababisha UTEGEMEZI (ADDICTION) Njia ya kukusaidia kuacha ipo unaweza kuwasilinana Narcotics Anonymous (N.A) ambao ni ushirika wa...
  8. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    Pole sana Mkuu.God is able.
  9. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    Pole Mkuu
  10. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania, huu ni wizi

    Nami yemenikuta walilamba zote sms 300 na kifurushi cha Internet
  11. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Kweli kabisa "It works if you work it" Alcoholics Anonymous (A.A)
  12. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu DSTV imenishinda

    Mmmmm.......ndo sababu?
  13. nabbingo

    JamiiForums Tanzania Telekinesis

    Huko sahihi kabisa kuna programe nayoitumia kwa masaa 24 ili niweze kukabiliana na ADDICTION niliyonayo so kila asubuhi lazima uanze na MEDITATION AND PRAYER
Back
Top Bottom