Viwanja vinauzwa kigamboni,mwasonga karibu na shule ya msingi kichangani(njia ya kibada kuelekea dar es salaam zoo)Vimepimwa na vina plot namba kabisa.vimepimwa na kampuni binafsi
Ukubwa ni square meter 740(sawa na 27*27)
Bei MILLIONI TANO (5M)
kwa mawasiliano piga au tuma sms
0712016626
natafuta shamba la acres sita maeneo ya mkuranga mkenge na maeneo ya karibu na hapo
ziwe karibu na barabara kuu so zaidi ya mita kumi kutoka barabara kuu
cpatikan sana uku kwenye forum nicheck kwa sim
0712016626
0714044741 muachie maagizo kama ya juu haipatika
so zaidi ya million...
Mimi ni mwalimu wa somo la mathematics kuanzia darasa la tatu mpaka kidato cha nne kwa wanaohiji kufundishwa nymbani au supplimentary. Natoa hiyo huduma kwa kiasi cha sh 10000 kwa saa.
Piga simu kwa mawasiano zaidi 0712016626
Kiwanja kipo kimara temboni saranga
ukubwa wake 24 * 24
bei milion tatu na nusu
unaweza lipa kwa awamu ndani ya miezi miwi
piga au nisms tigo wanazingua sometime so ukiambiwa sipatikan ni sms nitakupigi
0712 016626
0768 122956
Data Mimi namshanga mhariri nae kajumuika kulalamika kama sisi wakat angeweza tupia APA iyo habari iyo mbinu no ya kizaman weka hapa dk kadhaa itakua imesomeka
Kuna viwanja vimepimwa kabisa maeneo ya boko 4 km kutoka road ya bagamoyo ni ukubwa was 28*20 ni million Tatu na nusu so unaweza kuvionganisha
Kama ukitaka piga
0712 016626
Vipo boko vimepimwa tayari ukubwa miguu 28 kwa 20
bei sh milion tatu na nusu
viwanja vip goba na tegeta kupitia njia ya mbezi mwisho bei tofauti 20 kwa 20 kwa sh milion nne
heka moja kiluvya kwa sumayi milion tatu na nusu
kiwanja kipo kigamboni kimbiji heka moja milion tano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.