Recent content by mzungu poli

  1. M

    Watumishi wa Serikali waliopandishwa vyeo 2015/16 sasa kusomeka kuwa wamepanda vyeo tarehe 01 Aprili 2018

    Tuamke manyanyaso nimengi na msoto ni nimkali lkn hakuna anaetujali hapa vya vyote vya wafanyakazi ni taasisi nyingine ya unyonyaji. Tuamke jamaniiiii
  2. M

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    Sijui umeandika nini fala wewe.
  3. M

    Waraka wa Freeman Mbowe kwa Taifa: Adai kuna njama za kuwabambikia kesi za mauaji na uhaini

    Matamani nikutukame tusi kubwa lkn ivi sheria za uchaguzi zingefatwa maandamano yangetokea wapi watanzania tunajua adui mkubwa Wa nchi hii ******** na wajinga Wa ccm. Aluta continua
  4. M

    Kada wa CCM, Ole Mushi aionya Serikali ya CCM Makanisa yanaambatana na Wanyonge kuiondoa serikali madarakani

    Sawa mkuu subirini 2604 kwanza wewe unaongea tu viongozi saivi wanaweseka tu uko ndio maana waanaaribu zaidi kwakua na wewe ni msukule unaona poa tuu
  5. M

    Wito kwa Jeshi la Polisi: Mfikisheni Abdul Nondo mahakamani akaipate haki yake

    Mwigulu no miongoni mwa viongizi wanafiki sana. Mwigulu nae ni mafia kama alivyo bashite alishamsingizia lwakatale kwamba in muhaini na akashuhudia bunge kua angetoa ushahidi mpaka mbinguni lkn alishindwa lkn pia mwigulu alitakiwa ajiuzuli kwani amepwaya katika nafasi hiyo kulingana na matukio...
  6. M

    Hali ni ngumu kivipi mtaani? Mbona mimi naona kila siku ni bora kuliko jana?

    Sina haja ata ya kumaliza soma post yako ila kama wewe unakula kiulaini kama bashite utasemaje hali ngumu mtaani sisi wavuja jasho tanapambana bila mafanikio aisee.
  7. M

    Kakonko: Diwani CHADEMA afunguka Polepole alivyomtumia watu kumshawishi kujiunga na CCM

    Baba izo audio kabizi kwa MTU ambae wao awata mjua ili jambo baya likitokea na zenyewe ziachiwe at a kama miaka 10 badae
  8. M

    Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    Ntamani nkujibu nmeamkusitahi sasa subr watu hao wachache waandamane ndio mtajua Amani ni nini?
  9. M

    Magufuli siyo sawa na Mubarak wala Gadaffi

    Acha ujinga kwaiyo watu awatekwi siunaona kumbe ata kuongea ukweri unastaili adhabu nahayo pia tunataka kuyaondoa
  10. M

    Juma Dogan: Kada wa CCM 'aliyemwokota' Abdul Nondo Mafinga na kumpa nauli ya taxi aende kuripoti Polisi kupatikana kwake

    Sio wasikufanye mjinga wewe in mjinga kulingana na maswali unayohoji pitia koments zote za watu uone kama wameoji upuuzi wako kama ukunahatika kupata elimu ya juu wewe kauka tu chuo kutembea na kufanya kazi mpaka asubuhi nikawaida tu sana. Uliza kwanza usijifanye mjuaji wahudumu Wa vifaa na hata...
  11. M

    Ya Rais Magufuli, apewe Rais Magufuli

    Kuporomoka pia kwa ubora Wa elimu ongeza
  12. M

    Ya Rais Magufuli, apewe Rais Magufuli

    Unafikiri tuwaamniaje sasa ninyi wenye division one mesahau wasiojilikana katika orodha yenu, ugumu Wa maisha kuongezeka madhalani taifa zima , kutekwa watu na kuuwawa lkn miujizs division 0 kuongoza jiji kubwa
  13. M

    Wanafunzi wa vyuo vikuu, ikifika Ijumaa mwenzenu NONDO hajapatikana gomeni

    Unity is power. Union is strength kwa pamoja mnaweza sio vizuri kukubali binadamu mwenzeni apotee kirahisi kiasi hicho andamaneni nasisi RAIA tutawaunga mkono
Back
Top Bottom