Serikali warekebishieni mishahara watumishi waliopanda madaraja Aprili 2018

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Juzi Katibu Mkuu utumishi aliagiza kwa mara nyingine tena kurekebisha barua za watumishi waliopandishwa madaraja 2015/2016 .Mwaka 2017 Katibu Mkuu aliagiza barua zirekebishwe kuanzia Novemba 2017 lakini Mishahara haikurekebishwa.Mwezi march 2018 Katibu Mkuu Utumishi wametoa tena waraka kuwa barua hizo zisomeke April 2018.Nadhani ni busara AGIZO hilo kuyatekeleza kwani linawakatisha tamaa Watumishi.
 
wako bize na viyoyozi kwenye V8 hawana habari ya wanaowafanyia kazi

kama mkuchika ni kama ameenda likizo hakuna kitu! naamini hela hakuna ndo maana tunazungushwa tu! ila ni unyanyasaji wa hali ya juu! promotion ya 2015 unamuwekea mtu 2018,

tanzania tutaendelea kuwa maskin kwa sababu ya dhuluma kila sehemu! ndo maana wanasiasa wengi mwisho huwa mbaya
 
Mimi nashangaa pamoja na hali hii wanafunzi wanafaulu.

Walimu ni wapumbavu na malofa kabisa.
 
Hivi kwa mfano mashoka na mapanga hayawezi kutosha kupambana na Polisi ambao hawajielewi.
 
kwa sas watumishi wa umma wanaburuzwa tu bila kufuata sheria na taratibu zilizopo. kuna watu walipaswa wapande kuanzia mwaka jana mwezi wa tatu mpaka leo ni danadana tu...
 
Back
Top Bottom