Recent content by mzumbasha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

    katika maisha yangu ya kupanga nyumba sijawahi kuhama usiku kwaio kama hio yakuhama usiku ni kanuni basi ntakuwa nmeenda kinyume. mara nyingi huwa nahama muda wa asubuhi . nakumbuka siku moja wakati nataka kuhama nikafika stand ya gari iliyokuwa karibu na nilipokuwa naishi nkawa naongea na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchawi aingia choo cha kike kwa Mlokole

    mkuu ungeomba ukakahoji pekeako nyuma ya boma upate japo silent kisi....nakapicha kaushahidi aisee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Scholarships and jobs

    mhuuuuuu! kunani uko inbox mkuu, kama una lengo jema tu vema ukatoa taarifa kamili hadharani aisee
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nyati nane wamekufa baada ya kugongwa na fuso

    bila shaka dereva alikuwa anaenda zaidi ya speed elekezi na wanyama hao walikuwa wakivuka barabara kwa makundi hivyo kuwa vigumu kwao kuihama barabara upesi nakujikuta wakishangaa taa na honi za gar katikat ya lami. laa cvyo suka atakuwa na shabaha ajabu...ingekuwa ajari ya ndege tungetafuta...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Harakati za kutafuta kazi: Nimetumiwa ujumbe huu nikajibu hivi, je nimekosea

    dalili za mvua ni mawingu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huwezi amini: Siasa ndio kazi rahisi duniani

    siasa ni rahisi na tamu ukiwa mwadilifu. japo wanasiasa waadilifu huwa na maisha mafupi kuliko wale wa mediocre type. hivyo ukitaka kuruka agana na nyonga kwanza manake waeza dondokea pua badala ya kisigino
  7. M

    JamiiForums Tanzania Part-time job kwa vijana wa Dar

    naona malipo bado ni siri ya mwajiri
Back
Top Bottom