Forums
Trending
New Posts
Log in
Register
Style variation
System
Light
Dark
Trending
Search
Search
Search titles only
Note
By:
Latest activity
Register
Our Community
JamiiCheck
FichuaUovu
Stories of Change
Start Discussion
Coming Soon
JamiiCourses
JamiiData
JamiiShop
Premium Content
Regional Communities
Coming Soon
Tanzania
Uganda
Kenya
Rwanda
DRC
Zambia
Zimbabwe
Menu
Log in
Register
Navigation
More options
Style variation
System
Light
Dark
Contact us
Close Menu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Mzukulu
Recent content by Mzukulu
Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa
Kwani Kumpokea Mtanzania Mwenzetu ambaye tena aliondoka nchini kwa Matatizo ambayo yametokea ndani ya Tanzania hii hii ni Dhambi Ndugu?
Mzukulu
Post #124
Jul 27, 2020
Forum:
Jukwaa la Siasa
Inakuwaje Mtangazaji asiyejikomba kwake Bakari Msulwa wa TBC kateuliwa kuwa DC, lakini Mwenzake wa Kujikomba Hassan Ngoma wa Clouds 360 kasahaulika?
Mbona ameshanipa tayari 10% yangu kwani Wewe unaweza kudhani kama nilikuwa namkandia lakini kumbe ndiyo nilikuwa nampaisha Kuteuliwa.
Mzukulu
Post #152
Jul 27, 2020
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?
Kabla sijakujibu naomba Kwanza kujua kutoka Kwako Wewe neno Uswahilini umelielewaje labda?
Mzukulu
Post #123
Jul 13, 2020
Forum:
JF Chit-Chats and Jokes
Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?
Kukuambia Uswahilini kamwe sikumaanisha kuwa ninaudharau ila nimemaanisha kuwa unachezwa hasa na Waswahili ila Kwingineko hawauchezi.
Mzukulu
Post #118
Jul 13, 2020
Forum:
JF Chit-Chats and Jokes
Tetesi:
Lissu atawekewa zengwe asigombee Urais
Kwani tukiachana tu na sijui Yeye kuwekewa hilo Zengwe ila Kiuhalisia kabisa unadhani hata kama akigombea kwa hali ilivyo sasa nchini atashinda?
Mzukulu
Post #7
Jul 13, 2020
Forum:
Jukwaa la Siasa
Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?
Sasa ulikuwa unachelewa nini Kukubali tu kuwa ulikuwa umekosea kusema Kombolera badala ya Kombolela hadi umesubiri nimekutia Adabu hivi?
Mzukulu
Post #115
Jul 13, 2020
Forum:
JF Chit-Chats and Jokes
Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?
Pumbavu.
Mzukulu
Post #114
Jul 13, 2020
Forum:
JF Chit-Chats and Jokes
Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?
Naendelea Kusisitiza ni Kombolela na siyo Kombolera. Swine.
Mzukulu
Post #109
Jul 13, 2020
Forum:
JF Chit-Chats and Jokes
Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?
Hakuna neno la Kombolera katika Lugha ya Kiswahili bali kuna neno sahihi na sanifu kabisa la Kombolela. Pumbavu.
Mzukulu
Post #106
Jul 13, 2020
Forum:
JF Chit-Chats and Jokes
Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?
Siyo Kombolera bali ni Kombolela Pumbavu.
Mzukulu
Post #104
Jul 13, 2020
Forum:
JF Chit-Chats and Jokes
Wewe Kada Mwandamizi wa hapo CCM Ofisi Ndogo Lumumba uliyehoji kwanini simkubali Hussein Mwinyi haya ni Majibu yangu Kwako
Kwahiyo ulitaka nipingane na nisiyaheshimu Maamuzi ya Wapiga Kura 129 na hizo 78.65% alizozipata Mwinyi na nikufurahishe Idiot Mmoja Wewe?
Mzukulu
Post #65
Jul 11, 2020
Forum:
Jukwaa la Siasa
Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana
Baba yako atakuwa Rais halafu Mama yako atakuwa Makamu wake. Una Swali lingine tena?
Mzukulu
Post #274
Jul 11, 2020
Forum:
Jukwaa la Siasa
Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana
Stupid.
Mzukulu
Post #273
Jul 11, 2020
Forum:
Jukwaa la Siasa
Wewe Kada Mwandamizi wa hapo CCM Ofisi Ndogo Lumumba uliyehoji kwanini simkubali Hussein Mwinyi haya ni Majibu yangu Kwako
Hata Jini kuna muuda huwa anageuka na kuwa Malaika.
Mzukulu
Post #59
Jul 10, 2020
Forum:
Jukwaa la Siasa
Je, viongozi wetu ni 'Smart Upstairs' kiasi gani?
Samahani Mshana Jr hii ndiyo ID yako nyingine au?
Mzukulu
Post #14
Jul 10, 2020
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
Mzukulu
Our Community
JamiiCheck
FichuaUovu
Stories of Change
Start Discussion
Coming Soon
JamiiCourses
JamiiData
JamiiShop
Premium Content
Regional Communities
Coming Soon
Tanzania
Uganda
Kenya
Rwanda
DRC
Zambia
Zimbabwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
Accept
Learn more…
Back
Top
Bottom
Menu
Forums
New posts
Log in
Register