Recent content by Mzizi wa Mbuyu

  1. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Maswala ya katiba Mbovu ni Makosa ya Watawala waliotangulia wote, sio Mama!

    Nyie wapuuzi bado mnamlaumu Nyerere miaka 40 baada ya kuondoka madarakani! Nyie kazi yenu nini katika hii nchi! Kula tu! Alifanya alichofanya akawaachia nyie mmrekebishe alichokosea kwa kuwa hakuwa malaika. Tena wapuuzi wengi wanaosema hivi ni mawakala wa watawala waovu wa nchi hii, kwemu...
  2. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

    Misri toka ianze kushiriki world Cup mwaka huu ndio imeambulia ushindi! Waafrika kujiona mnalaana ndiyo laana yenyewe siyo mpira
  3. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Kama Nisingeandika Historia ya TANU na Uhuru wa Tanganyika Kurekebisha Historia Iliyokuwapo Leo Tungebakia na Historia Gani?

    Mzee tapeli na vitabu vyake maarufu kwenye vijiwe vya kahawa na vinavyouzwa misikitini zaidi
  4. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kinakwenda kuwa chama tawala kama ANC ya Afrika Kusini

    Siyo rahisi, lazima kazi kubwa ifanyike itakayoweza hata kugharimu maisha ya wengi.
  5. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania leo PM Mwigulu Nchemba yupo Kondoa Dodoma Mei 16, 2026

    PWAGU & PWAGUZI
  6. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutafuta pesa kwa jasho na damu

    Hahahaaaaa!!!
  7. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Huenda alikuwa dhalimu lakini usimamizi wa rasilimali za umma na utendaji kazi wake ulimbeba sana kwa raia wa hali ya chini kumkubali

    Nisaidieni swala la ufahamu tu, ukuachilia mbali kuwekwa kizuizini, au kutimiliwa nchini ni nani alitekwa na kuuawa wakati wa utwala wa JK NYERERE?
  8. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Suala la watu kuibiwa nyeti ni petty issues kuwatoa Watanganyika katika mjadala wa kupanda bei ya mafuta na mambo mengine ya muhimu

    Mimi niliposikia tu kwa mara ya kwanza, nikajua tu huu ni upuuzi wa Serikali
  9. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Duniani hakuna watu wanafiki kama waarabu

    Iran wananyonga hata watoto wanaokutwa wanasikiliza muziki, eti ni dhambi. Hakuna mwarabu/mwisilamu aliyelaani. Lkn Israel kutaka kunyonga wauaji kelele kila kona ya waarabu na waislamu.
  10. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Jema wapi wewe mzee? Yaani baada ya kuuwa watu kwa makumi elfu, kuzuga tu kuwa kaasili katoto mmemsamehe!!! Watanzania tupimwe akili! Mmesahau mara hii mauaji ya halaiki! Kina Polepole, Mdude, kesi ya kishetani ya Lissu, Mdude, mtoto aliyechoma picha yake kuuliwa kinyama!! Jiupusheni na laana...
  11. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Naitwa Tundusami mgeni nipokeeni

    Huyu angemtupia bomu kabisa!!
  12. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Huyu nae anaugua ugonjwa wa akili wa kujipendekeza, anayemtaja kwanza siyo rais. Ni mkoloni anayewatawala watanganyika kinguvu!
  13. Mzizi wa Mbuyu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Nimeliponya Taifa kwa kuanzisha Wizara ya Vijana na kuwaachia huru watuhumiwa wa kesi ya Uhaini

    Anapora uchaguzi, anaua watu, anateka watu, anabambikia kesi n.k...then huyohuyo anasema anataponya upumbavu gani vile!! Huyu ni mhalifu anatakiwa ashtakiwe na kuchukuliwa hatua
Back
Top Bottom