Recent content by Mzito Kabwela

  1. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Unatafuta Vifaa vya Ujenzi? Karibu VN Warehouse Limited – Tunauza Jumla na Rejareja

    Mkuu una water tank za Lita 2K?
  2. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama siyo

    Hataki kukwaza "ndugu zetu katika Imani"
  3. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Watu waliopotea ni doa kubwa kwa taifa hili, Polisi wana wajibu wa kuwatafuta

    Kwa nini wamuue? Kwani hao wanaoua wanamuua kila mtu?
  4. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!

    Kwa nini unaomba usiteuliwe kuwa jaji badala ya kusema ukiteuliwa kuwa jaji UTAKATAA?
  5. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Uwaziri wake wa Afya unahusikaje na kifo chake?
  6. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

    Juu watazuia wasishtakiwe
  7. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania App gani ya mikopo play store napata hela ya kula leo

    Nilikopa mitandaoni, najuta na sitarudia tena
  8. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    Polepole kama Polepole anayoyaongea Watawala watakuwa wanajua kama anaongea ukweli au anaongopa. Kinachoniogopesha mimi ni Logic ya lawaida tu kwamba Polepole hay hayuko peke yake. Je NYUMA YAKE YUPO NANI? Maana hii no vita ya madaraka ndani ya CCM pole kaigeuza ni vita ya kurejesha chama na...
  9. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kupata vibali ya ujenzi kwenye maeneo ya skwata kama mbondole Ilala Dar es Salaam ni halali?

    Ukiacha zoezi zima la kuzuia ujenzi usio na kibali kugubikwa na Rushwa, wanaodai kulipia hivyo vibali wanadai wamelipa mkononi bila kupewa control number. Lakini kisheria ni halali kulipia hivyo vibali kwenye maeneo ambayo yapo kwenye mpango wa kurasimishwa? Mtu anajenga ukuta wa nyumbani...
  10. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya stendi kuu ya Mtwara ya Mkanaledi ni hatari kwa afya

    Jionee mwenyewe kwenye picha... Hapa ni Manispaa ya Mtwara Mikindani. Bwana Afya na Bibi Afya wapo tu, wanasubiri milipuko ya magonjwa ili waandike madosari ya kuomba fedha. Hakuna jitihada za kweli za kuzuia, bali kusubiri matatizo yatokee ndipo wachukue hatua – tena kwa maslahi yao binafsi.
Back
Top Bottom