Recent content by Mzinga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

    Sasa ni zamu ya walutheri wakatoliki wasubiri kwani wakristo ni wao tu.Asante mwalasusa kwa kumleta Sumaye
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ACT-Wazalendo yakutana Double Tree Hotel, Dar - Agosti 15, 2015

    Kuwa mwanasiasa haikufanyi usiongee na wanasiasa wenzako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ACT-Wazalendo yakutana Double Tree Hotel, Dar - Agosti 15, 2015

    Hivi kwani bado ni mwanachama wa Chadema au mimi sielewi wanachadema wanalia lia nini.Au siasa hautakiwi kuongea na wanasiasa wa vyama vingine?Ujinga wa mleta habari umepitiliza kiwango
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaohama CCM kwanini wote wanakimbilia CHADEMA?

    Chadema=CCM B kwa sasa ndivyo ilivyo penda usipende
  5. M

    JamiiForums Tanzania Breaking news : Fastjet watangaza route ya kilimanjaro mwanza.....

    Safi sana nimependa wanavyochangamsha soko la usafiri wa anga
  6. M

    JamiiForums Tanzania Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    Leo ndo wameamka siku zote walikuwa wamelala vipi na kwenye mitandao wataweza au hata kulog in hawajui
  7. M

    JamiiForums Tanzania KABAAANG! 300mins & Unlimited(Internet+SMS)/wk...

    Inaweza ikawa mwokozo manake airtel wamekwisha tutenga maskini
Back
Top Bottom