Wanaohama CCM kwanini wote wanakimbilia CHADEMA?

Wanaohama CCM kwanini wote wanakimbilia CHADEMA?

Kinana hakukosea kuwaita Makapi , Msindae, Guninita, Makongoro ni Makapi kwelikweli.

makapi ni wale waliokatwa kwenye kura za maoni za urais usiwasingizie hao. sasa kapi Lowasa wataisoma namba maana hata magufuli haoni ndani halafu zamu hii hamuibi maana mbinu zipo huku ukawa.
hayo makapi watajuta kuzaliwa maana ccm wanapumulia ICU ila hawataki kusema na sasa hivi wako kimya mbwabwajaji Nape nae kwa lowasa hasemi kitu utafikiri sio yeye. ccm mmetufikisha hapa imetosha kwa kitu gani mmelipi sh ngapi kumiliki nchi mkishindwa kwa hoja na kura mkubali mmekula vya kutosha. mmefilisika sera.
 
Naomba kujua kwanini wote wanaohama CCM wanakimbilia CHADEMA na sio washirika wengine wa UKAWA kama CUF, NCCR au NLD?

Je ni tamaa ya kupata vyeo kwa sababu CHADEMA ndio italayounda serikali?

Kichwa kinauma wadau.
Kichwa kitaendelea kukuuma sana, endelea kujiuliza tena kwa nini wote wanaohama Chadema wanaenda ACT na siyo CUF NCCR, NLD? Kichwa endelea kuuma!
 
waje watuongezee kura huku huku ni kura tunatala tuu sio kingine kwani wote wanaokuja cdm watakuwa viongozi? acheni mawazo ya kijinga hamjiulizi tuu tanga Lowasa aje cdm wanaolalamika kutoridhika na uamuzi wake na kumwita fisadi ni MACCM tuu wala sio wanachadema Jiulizeni tangu aje huku waccm ndo wanahamia huku sijaona cdm wakiham. ccm mmefanyq kazi kubwa kumpa popularity lowasaa kuliko magufuli. ukifika mtaani ni lowasaa tuu hadi magufuli wa watu kashasahaulika.
ameachwa mwenyewe hajijui anajikuta akiahidi laptop kwa walimu kitu ambacho sio hitaji.
 
Unataka wahamie chama gani? KANU au ZANU-PF
 
Naomba kujua kwanini wote wanaohama CCM wanakimbilia CHADEMA na sio washirika wengine wa UKAWA kama CUF, NCCR au NLD?

Je ni tamaa ya kupata vyeo kwa sababu CHADEMA ndio italayounda serikali?

Kichwa kinauma wadau.
Kichwa kitaendelea kukuuma sana, endelea kujiuliza tena kwa nini wote wanaohama Chadema wanaenda ACT na siyo CUF NCCR, NLD? Kichwa endelea kuuma!
 
1: Wengi ni bendera fuata upepo, maana hata ukiwauliza hawana sababu iliyonyooka, utasikia chama kimekosa muelekeo, kumaanisha kwamba mwenye kuwaonyesha uelekeo ni EL

2. Wengine wanahama kwa shinikizo la maagano yao yao ya awali, yaani njoo huku niliko au rudisha pesa zangu. ndo kale kamsemo, ULIPO TUPO.

3. Wengine ni wale walioshindwa kupita katika mchujo wa chama chao wanaenda chadema kutafuta huruma ya wananchi
 
hivi na wewe kwa ufahamu wako kweli chama chenye mvuto hapo ukawa hukijui
 
Tuliwaambia Chadema Ni Mpango Wa Mungu Mlibisha Sana Sasa Mungu Ameamua Kuwachafulia Rugha Ccm, Watapoteana Sana Mwaka Huu Na Bado Ghalika Linakuja Na Usiombe Kukutwa Lazima Usombwe
 
yaan apo usiulize unaendaje cuf kwa mfano alafu serikl ipo chadem
 
CCM B ..joka kuu limetangulia na mabaki yake yanamfata hukohuko, hao wote ni kupe wanamfata host wao ili waendelee kuishi ..Hongereni CCM kwa kukata hili tawi la kupe
 
CDM siyo CCM inayogawa vyeo hadi kwa wendawazimu,weu,mahawala,vimada nk pasipokuangalia sifa za kiuongozi za huyo mtu!
Hivi mahawala, vimada, wachumba wa Mbowe na Slaa umewasahau kuwataja. Nyani haoni kundule. Kamanda usitaje vitu vinavyogusa pia na upande wako, we vipi si uulize kwanza? ?
 
Hujaelewa maana ya ULIPO TUPO.
anyone who is under estimating the power of Lowassa let him/her die like the late CCM.
 
CDM siyo CCM inayogawa vyeo hadi kwa wendawazimu,weu,mahawala,vimada nk pasipokuangalia sifa za kiuongozi za huyo mtu!

yule kimada wa mbowe viti maalum walifuata vigezo gan kumteua kuwa vit maalum? mbona kila kiongoz mwenye nguvu ndan ya cdm ana ndg viti maalum?
 
Back
Top Bottom