Recent content by Mzigua wa kuchovya

  1. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Bora kuoa mke kilaza kuliko kuolewa na mume kilaza

    Jamani jamani nyinyi wanaume mbona baadhi yenu hamna huruma jamani kwa wake zenu? Nilikuwa najua mwanaume ndo mtu wa kwanza mwenye huruma kwa mkewe lakini sivyo. Aisee kuna wanaume hawawazi kama kesho anatakiwa kuja kuwa baba wa familia yaani ye bora liende tu. Mwanaume ndo kichwa cha...
  2. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Hapa cjaelewa bado

    Hivi mwanaume anaposem anataka mwanamke mwenye dini anamaanisha mtu aliyeisoma dini,akaijua ila haitilii maanani anaifanyia kazi kiuvivu uvivu au Mtu aliyesoma walau kidogo lkn anapractice? Yupi anayehitajika haswa hapo
  3. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Hujafa hujaumbika

    Saana
  4. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Hujafa hujaumbika

    Hakika
  5. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Wanawake mjifunze kukata viuno

    Hahahaa
  6. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Mara Paaap unaamka unajikuta ulikuwa unaota.!

    Hahahahah
  7. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Mara Paaap unaamka unajikuta ulikuwa unaota.!

    Hiv ikitokea tu ndo unajikuta unamiaka kumi ndo kwaaanza unaamshwa uende shule yaaani muda wote huo ambao we unajiona umekuwa mkubwa kumbe ulikuwa unaota tu UTAFANYAJE?
  8. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya watzee na wazungu..

    Mswahili aachi asili ye
  9. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Waume wameisha au veepe?

    Badoooooooo
  10. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Waume wameisha au veepe?

    Nakufaham pia
  11. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Waume wameisha au veepe?

    Aaahaa
  12. Mzigua wa kuchovya

    JamiiForums Tanzania Waume wameisha au veepe?

    .
Back
Top Bottom