Recent content by Mzibaufa

  1. Mzibaufa

    JamiiForums Je, ni sahihi mtoto wa kiume kupewa jina la baba yake mzazi?

    Kumbe bado mapema..!
  2. Mzibaufa

    JamiiForums Je, ni sahihi mtoto wa kiume kupewa jina la baba yake mzazi?

    Safi sana mkuu..Kwa nn umeamua hivyo kwa upande wako..?
  3. Mzibaufa

    JamiiForums Je, ni sahihi mtoto wa kiume kupewa jina la baba yake mzazi?

    Unamaanisha bado ninayo nafasi ya kupambana..?
  4. Mzibaufa

    JamiiForums Je, ni sahihi mtoto wa kiume kupewa jina la baba yake mzazi?

    Habari wanajamii. Mimi ni kijana ambaye ninandoto ya kufanya makubwa sana katika maisha yangu lakini hadi sasa ninakaribia miaka 30 halafu sijafanya chochote tofauti nakuwa mwaka wa mwisho wa degree yangu ya Architecture. Kiukweli naona kama malengo niliyojiwekea katika maisha tangu mdogo mpaka...
  5. Mzibaufa

    JamiiForums MAGAZIJUTO

    Kidogo hesabu haikunipiga chenga mkuu..
  6. Mzibaufa

    JamiiForums MAGAZIJUTO

    Ukijua hesabu unafauru maisha hata kama utachelewa..
  7. Mzibaufa

    JamiiForums MAGAZIJUTO

    Umenichekesha mkuu..Siyo ww tu uliyepita buuureee wapo wengi kama ww...
  8. Mzibaufa

    JamiiForums Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

    Bora hata ww mkuu umeona sura mbaya..Wenzako walishaibiwa na kubaki weupeeee..
  9. Mzibaufa

    JamiiForums Wale jamaa wanaoongea ongea kwenye basi pindi linasafiri, wanakera sana.

    Hawa watu wanazingua sana..Kwenye basi kila mtu na imani yake ila wanakomaa kuhubiri mwanzo mwisho..
Back
Top Bottom