Issue sio hiyo swala hapa ni kwamba kampuni ina nyanja kibao na kila nyanja lazim wakae watu huwezi weka ndugu kila sehemu sasa hata kama anaweka ndugu ndio hata matangazo ya ajira tusione😂😂
Mo ujue mpaka ana recruitment yake, na anatoa ajira kwa watu tofauti tofauti hata interview anafanya japo nafasi zake ni chache ila unaona matangazo yake ya kutoa ajira na kutaka wafanya kazi ila kwa Azam ni tofauti yani huoni hata wakisema wanataka wafanya kazi
Nimejitahidi kutafuta ajira za Azam ila sioni popote kama kuna matangazo yao ya ajira, naona wapo tofauti kidogo na METL. Kwa ambaye anajua kama Azam anatoa nafasi za ajira anisaidie niangalie kama kuna nafasi.
Swali: 1. Je, unapeleka cv ofisi zao? Na kama unapeleka je ofisi zao ziko wapi?
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.