walianza jumanne kupigia watu bt yawezekana waliokupigia jmos na namba ya ofcn ilikuwa ni moja ya feedback za application zako ulizofanya sehemu zingine pengine walikuwa walikuwa wanakutafuta for interview. so kama unajua umetega sehemu nyingi bac uwe active na simu yako muda wote ucje kosa...
jamaa walinipigia jana jioni walinipa namba ya interview inaonekana wanatuma text kama kutoa taarifa kwanza then wanaanza kupiga kwa ajili ya kutoa namba nafikiri hata walikokuwa na tatizo kama langu soon before saturday watakuwa wamewapigia.
hata mie wamenitumia meseji tu sasa cjui utaratibu wa namba utakuwaje maana kuna mshkaji wangu walimpigia wakampa na namba kabisa kama ilivyokuwa 1st interview.
bravo! guy u tiped on da point view of NSSF As a whole even if they come up out of dat its also important to know how it operate n how both employees n employers benefit.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.