Ivo mzigo wa waheshimiwa wengine wanaposafiri na ndege si huingizwa kwenye ndege hiyohiyo ? CCM jengeni hoja wacheni kuongea pumba . ZNZ tunamengi ya kushuhulikia mfano Rasimu ya Katiba .
:A S-fire1::A S-fire1:.....Tuunganeni kumkataa PM . Hajali kwamba tamko lake (bungeni) lilikua amri kwa vyombo vya ulinzi. Yake yanamuendea hajali mateso wanayopata RAIA . Anadhihirisha udikteta wake . Wana filosofia wa kichina wanasema mtu alivyo huonekana katika...
Mbowe asiwe na woga . Wenzako wa C U F ZNZ kwa muda wa zaidi ya miaka mitano ni mateso , kichapo na kusekwa ndani angalau miaka mitatu hii wamefutari majumbani .:A S-fire1:
Wachoraji hufundishwa kwamba wanapotaka kumchora kiumbe (hasa binaadam) ana nyuso mbili wazisome/wazifahamu ndipo wataweza kuitia uhai picha ile wanayoichora .Jee ? watanzania which side of OBAMA did we see . May be it is a hunch but I pottrey the other side of him
Once USA Foreign sect. say...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.