Recent content by mzeewabarakoa

  1. mzeewabarakoa

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa upatu wa kimtandao ni janga sugu Tanzania, Serikali ina la kujifunza

    Uko sahihi ndugu ila BOT Kwa mujibu wao wanadai kuwa wamefungia hiyo kampuni kwasababu BOT haiamini mfumo wa biashara ya upatu lakini pia binafsi mimi naona kama BOT imefungia hiyo kampuni ni busara iwajulishe wananchi wake kama inafungia hiyo na kutoa taarifa ya umma na wananchi wajulishwe...
  2. mzeewabarakoa

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa upatu wa kimtandao ni janga sugu Tanzania, Serikali ina la kujifunza

    Uko sahihi, ila hayo mambo mengi waliyo nayo Serikali ikiwemo na hili kama jukumu lao, pia namna ya uelewa kwa watu tunatofautiana wakati elimu ikiendelea kutolewa Kwa wananchi pia serikali iboreshe miundombinu yake ya kuzuia haya majanga Kwa njia ya kimtandao
  3. mzeewabarakoa

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa upatu wa kimtandao ni janga sugu Tanzania, Serikali ina la kujifunza

    Habari za muda huu ndugu zangu kuna jambo linaniwazisha sana hasa juu ya hii mifumo ya upatu maarufu kama Ponzi schemes(kama sijakosea herufi) binafsi sijawahi kushiriki Ila naona kama serikali inachelewa sana kutambua haya mambo au inafanya makusudi? au kuna baadhi ya watumishi wa serikali...
  4. mzeewabarakoa

    JamiiForums Tanzania Adili na Nduguze:- Shaaban Robert

    Aisee kiswahili kigumu sana
  5. mzeewabarakoa

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kudanga nataka kurudi kwa mume wangu,shida ni mama mkwe

    Tutoleeni story zenu za kitotoo
  6. mzeewabarakoa

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli : Nani alistahili?🎵🥱 (Kisa cha mapenzi chenye kusisimua)

    Tunasubiri muendelezo boss
Back
Top Bottom